Kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa mwenzetu Figganigga amefiwa na babu yake mpendwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Msiba uko nyumbani KIJITONYAMA MAKUMBUSHO, MTAA WA NIGER KARIBU NA SAFINA HOTEL. Wasiliana na Figganigga kwa namba yake 0714253692 Pia kama utapenda kutuma Tigo Pesa kwa ajili ya rambirambi kama ilivyo kawaida yetu wanaJF.
Pole sana my best friend figganigga Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu muweze kufanikisha vyema safari ya babu yetu mpendwa, nikitoka Kiteto nitakuja kukuona