Msiba: Familia ya Mungai

Msiba: Familia ya Mungai

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Wanajamvi,kwa wale mnaifahamu familia ya aliyekuwa waziri wa elimu Mh Mungai,wamepata msiba wa mdogo wake aitwae Michael. Tatizo ni ugonjwa wa moyo. Poleni familia ya Mh. Mungai.
 
Inlalilah
 
Pole kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
 
Mimi nilisoma enzi Tabitha Siwale ndio Waziri wa Elimu.

Hivi huyo Mungai ndio aliyepanguapangua mitaala ya shule za msingi na kufutilia mbali michezo mashuleni?

RIP MICHAEL.m
 
...ndiye huyo mkuu,alishika nafasi mbalimbali za uwaziri na mara ya mwisho alimalizia na elimu. Mdogowake alikuwa mafinga saohill ndo kafariki...
 
Back
Top Bottom