Mshukiwa wa dawa za kulevya aliyetajwa na Mwakyembe!

waiting to hear that Chid Benz and M2theP are in the Court of Law to answer these allegations.
 
Mimi sijali ishu ya madawa ya Kulevya hapa. Nachojali ni kalio la masogange tu! Yani kalio hili litaishia nyuma ya nondo mda mrefu sana hadi atakapomaliza kifungo chake litakuwa limesinyaa na nilikua kwenye process la kulimega yani angechelewa kidogo tu kwenda sauz ningembwenga. Wana jf wezangu magreat thinker wezangu naombeni msaada kwa ili mwenzenu nateseka. Nyambaff maafisa uwanja WA ndege olivar thambo sauz viherehere

Taratibu mkuu...mbona bongo yapo mengi sana?
 
Hapa ishu ya mwakyembe kuingilia swala la madawa ni strategy ya kuwapumbaza watu na kutufanya tuone tunafika kwenye suluhisho la hili tatizo. Na kwa reputation yake wengi wanaamin anapambana kweli bt kiukwel kawekewa limit ya ku deal na hii ishu.
Tunaweza kujiuliza mamlaka ya kuwafukuza askari kaitoa wap?au kuwabadilishia post tu hao walinzi wa airpot anaweza vip? Hajaagizwa kwel?

kingine habari inadai kina masogange walikuwa na mabegi 9, well but airpot SA walikamatwa na begi 6 so 3 hazikukamatwa! Packaging ni kwamba walikuwa na kilo 60 za madawa kama mzgo wa mkononi kwa kila mmoja na kilo 90 kama mzgo wa zaida. So kama walikamatwa na begi 6 manake walikuwa na kilo 60 na hizo beg 3 ndo zilikuwa na hizo kilo 90 kama mzigo wa ziada.

kama huyo mshkaji alikimbia na beg 3 akawatoa mhanga kina masogange ili atembee na huo mzigo mwingne of which the plan work as jamaa hakukamatwa na hizo beg 3 hazikuonekana huko SA.

Na huyo mshkaji ndo mwenye huo mzigo au yeye alikuwa ana monitor tu usafirishaji? Manake hilo halijawekwa waz na mh. Wazir.
Inaonyesha hao akinamama walifanywa kafara ili mzigo upite kiulaini. Na pengine kawasakizia yeye maana ni mzoefu SA
 
Kimenuka...ningawa wengine msio na busara mnasema hizi ni zuga!!Tatzo la wabongo mna majibu yenu ,sasa chakufanya toa mawazo hapa sema fulani naye......km Rizmoko..n.k

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu mkorosho kigoli.....watu wanakula bata siku nzima na hela wanayo mingi.....mpaka unajiuliza hizo ramani zao kachora nani....a/ kumbe dah....mcheki mwakyembe utajua watu wanavyopiga deal kijinga...

sure Dr.Mo na ukitaka kuamini hilo angalia vipande vya mahekalu wanavyovishusha huko mbezi bichi,makongo,kawe na kigambon,pamoja na utititri wa maghorofa,
kuna wawili hata humu walitajwa kwenye ile barua ya kwanza ya wafungwa wa HK,ila nilishawai kupata habar zao b4 wao mpaka wamedhamin mradi wa kuwasaidia watu kupasua mabusha pale magomeni,sasa now wanashindana kupandisha ghorofa pale magomeni mwembe chai,,,,mmoja hapendi kuitwa jina lake,anapenda kuitwa babu,,,
'vogue' ndo usafiri wake yeye,
 
Last edited by a moderator:
Kimenuka...ningawa wengine msio na busara mnasema hizi ni zuga!!Tatzo la wabongo mna majibu yenu ,sasa chakufanya toa mawazo hapa sema fulani naye......km Rizmoko..n.k

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mwekundu tujipe muda tu,,,ila hii itakua kama richmond,mtandao wa unga huu utaugusa tu mtaa wa Lithuli,Mwakyembe atachemka tu,
 
Last edited by a moderator:
Police wanafanya nini mpaka mtu kama Waziri awatangaze wauza unga? Hivi vyombo vya ulinzi hamuoni aibu? Ninyi Polisi na Usalama wa Taifa mko mko tu? Ninyi TAKUKURU mnafanya nini? Watu wa Uhamiaji? Bandari na viwanja vya ndege... are you serious na hatma ya nchi? Shame on you....

.
Ina maana mpaka leo hujui kwamba dola ipo kwenye mgomo? Otaona wakiisha kamata watasubiri kupokea maelekezo ya ni mashitaka yapi wawafungulie, kisha wasubiri kuambiwa wapelekeni magereza, kisha hakimmu aambiwe kuanza likizo ili wakija mahakamani wakose dhamana kusubiri upepo upepo upite na mwisho wa yote mahakama itapokea taarifa ya kuwafutia mashitaka maana serikali haina nia ya kutaka kuendelea na mashitaka yao, na ukurasa kufungwa rasmi kwani wadanganyika watakua washasahau ni nini kilichokua kikiendelea.
CHEZEA SERIKALI INAYOFANYA KAZI YA KUUPISHA UPEPO UPITE WEYE?
.
 
mjini hapa watu wanaendesha magari mazuri...wanachezea hela...unashangaa watu wanapata wapi kumbe ...dah

Aiseee yn acha tu...wanafanya matanuzi ya hajaa...wanatuumiza roho kumbeee....na bado watatajwa woote...rummy migold na evans komu wote ni chama moja na masogange....watoto wadogo wananing'iniza magold 10 10 kwa hela zipi
 
Naona kama mwakyembe ameingia vitani bila jeshi hivyo siyo rahisi kupigana vita mwenyewe
Uko sahihi maana waziri wa mambo ya ndani, waziri wa Mambo ya nje, na waziri wa nchi ofisi ya rais utawala bora, pia waziri wa ulinzi wako kimya
 
... Nyambaff maafisa uwanja WA ndege olivar thambo sauz viherehere
Nadhani wanausalama wanatakiwa wakufuatilie kwa karibu...huo uhusiano wa karibu kiasi hicho na mtuhumiwa...kiasi cha kufikia hatua hiyo uliyoeleza...kuna uwezekano...huko kwenye genge la wauza mihadarati
 
Hivi sheria ikibadilishwa kidogo ikasomeka hivi "Ukaguzi wa mizigo iliyobebwa ktk ndege lazima ifanyike ndege inakoruka na kule ndege inakotua"
Na jukumu hili pia liwahusishe wamiliki wa ndege,na ikiwa itathibitika ndege ilibeba sembe haramu itaifishwe!
 
hata huyu dogo huwenda ni PUNDA tu

attachment.php
 
Inaonyesha hao akinamama walifanywa kafara ili mzigo upite kiulaini. Na pengine kawasakizia yeye maana ni mzoefu SA

yan wanaposema hizo kg.150 walizokamata wamevunja rekodi sipati picha kama na hizo beg 3 zilizoyeyuka kama zingepatikana pia! Nadhan ndo ungekuwa mshangao wa karne.

huyo jamaa ni master mind, kwa uzoefu wake wa kuishi SA aliutumia vizur kwa kuwatoa kina masogange kafara na yeye kutembea na hizo beg 3.
 
hii kitu nillikuwaga najiuliza sana hivi mimi nina nini naona vijana wa umri kama wangu wanasukuma mikoko ya bei mbaya mimi nagombea daladala kila siku kila nikijitahidi kufanya kazi kwa bidii na kujibana sana bado nakuwa napiga hatua kwa tabu sana lakini vijana wenzangu kila kukicha na mikoko mipya kumbe ndivyo walivyo
ni kweli na ndiyo maana wanasema , rahisi ni ghali daima tuishi kama sisi tu . na kumuomba mungu
 
Tangu lini jeshi la mtu mmoja likashinda vita dhidi ya jeshi la wanajeshi wenye magmba?
Tusidanganyane, huu ni mchezo mwingine wa kisiasa.
 
ni kweli na ndiyo maana wanasema , rahisi ni ghali daima tuishi kama sisi tu . na kumuomba mungu

yote yanawezekana chini ya jua,na hili ni mojawapo,umakini unahitajika ktk kuchambua mambo na hasa yanayoshabikiwa na wengi....
 
Kuna mtu anaitwa mwema hv kwa jesh anafanya nn mwisho wa cku utasikia askar aliyesema mwakyembe achukuliwe hatua kapandishwa cheo.huu mtandao ni hatar sana ila kitawaka tu.
 
Back
Top Bottom