Mshua katua, Dar es salam kusimama kesho

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
20201008_212137.jpg
20201008_212157.jpg
20201008_211403.jpg
20201008_211246.jpg
20201008_211442.jpg
20201008_211442.jpg
20201008_211600.jpg
20201008_211501.jpg


Tukutane kwa Mkapa

Tukamsikilize Mzalendo namba moja mchapakazi, kipenzi cha Watanzania
 
Yule aliyeenda mlimani city, kesho akae kwa kutulia kwenye kiti na kufurahia show ya mwanaume
 
Lakini kusema ukweli Magu anatia aibu Sana yaani lugha uliyoisoma kuanzia drs la tatu mpaka unapata shahada ya uzamivu bado hiyo lugha huwezi ongea ,ni tatizo ni aibu sana.

uache kuona aibu na shida mbali mbali zinazokufubaza ukaonee aibu lugha ya kiingereza inayokosewa na magufuli.

acheni kujipa stress.
 
Back
Top Bottom