Mshtuko wa kifungo/kufungiwa yaani BAN

Mshtuko wa kifungo/kufungiwa yaani BAN

Mi kwangu naona poa tu as long as am not addicted na jf kiviile na Smart911 Smart911 wangu najua pa kumpata walaa...............

mahondaw wa Smart911
Banned.jpg
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee juzi nusu nilie kitu kinasoma "BANNED" Kwenye avatar. Kuingia kwenye web eti kisa kuna mtu alijichanganya nikamwambia sibishanagi na matah!r@ Ndio wakanilamba bani tar 4 yote.
Wameninyolosha aisee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nataka wa ni banned na mm .....BANNER CJUI BANNED CJUI MODS CJUI NN .....BANNED NA MIMI NIJUE MNA BANNA NN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bandle lenyewe limeisha Mimi Mkinipiga banned mwaka mtakuwa mmenisaidia sana maana kifurushi saiv kinaisha mapema [emoji6][emoji6][emoji135][emoji23][emoji23]

Fursa2017
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hapo hamna namna zaidi ya ku-log out na kubakia kuwa guest tu mkuu
Mie kwangu huwa nikipigwa BAN nikilog in inapeleka pale pale kwenye ukurasa wangu inanipa sababu za BAN yangu na itaisha lini. labda utumie device tofauti hahahahahaha
 
Back
Top Bottom