Dragoon
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 7,012
- 8,150
Mkuu hebu tafuta mda, fanya uchunguzi na upembuzi yakinifu halafu tuletee uzi unaohusu wana JF wazoefu wa kula banImagine wewe ni mgonjwa wa JF haipiti nususaa umeingia, umechangia ama kwa kulike[emoji106], au kudiss[emoji107] au la kuchangia lolote kama si kuweka post mpya kwa njia ya BREAKING NEWS au NEWS ALERT nk halafu ghafla unakutana na logo maarufu ya[emoji15] [emoji781] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] utatamani kulia![]()
Multiple [emoji723] nyingi zimetokana na ban... !!!!
Sent using Jamii Forums mobile app