EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Mbona Kibamba hakunaga shida ya maji? au haya yanayotoka huku mitaani ni yale ya mchina? Hebu toa ufafanuzi maana wengine tunaishi hapahapa Kibamba for yearsHii ni hospital kubwa ya kimataifa inayohudumia watu kutoka maeneo mbalimbali nchini na duniani.
Kwa mujibu wa maelezo, ndio hospital ya mwisho ambapo mgonjwa akishindikana basi anapelekwa nje ya nchi. Maana yake inashikilia roho za wengi na ina mabingwa wa kutosha.
Ikumbukwe hii hospital iliboreshwa mno enzi za Magu na kuongezewa uwezo wa vifaa tiba na wataalam.
Lakini cha ajabu ni siku kadhaa sasa hospital haina huduma ya maji. Tahadhari ni kuwa ukienda na mgonjwa beba shuka maana hakuna mashuka, yote ni machafu.
Hali ni mbaya. Ummy hata kama unalijua hili najua linakuumiza ila yawezekana lipo nje ya uwezo wako.
Wakati huo Juma Aweso yupo Marekani anakula keki na Kikwete New York. Huku wengine wanaimba mama anaupiga mwingi.
Hivi na mvua hizi utasingizia nini sababu ya kukosa maji. Mungu anazidi kuwaumbua.
Mama nae yupo bize kugawa hela kwenye michezo. Hawa watu hawana uchungu na lolote sababu wanajua wao, watoto zao na wajukuu zao hawawezi pata huduma yoyote kwenye hizi hospital. Hizi ni za wanyonge.
Enzi za Magu aliweka utaratibu wa hawa viongozi kutibiwa pia kwenye hizi hospital.
Kwa sasa wanapishana angani kama chini moto unawaka(Benard Membe).
Kwakweli katika hospitali bora kwangu kwa sasa ni hospitali moja hivi ipo mkoa wa njombe inaitwa ikonde consolata hospital aisee huduma tuliyo ipata pale kupitia kwa mzee wangu ambaye alisha kaa muhimbili karibu mwezi na hapati naafuu lakini kaenda kuponea huko tena kwa muda mfupi sana hadi sikuamini, na sasa yuko safi kabisa.Hii ni hospital kubwa ya kimataifa inayohudumia watu kutoka maeneo mbalimbali nchini na duniani.
Kwa mujibu wa maelezo, ndio hospital ya mwisho ambapo mgonjwa akishindikana basi anapelekwa nje ya nchi. Maana yake inashikilia roho za wengi na ina mabingwa wa kutosha.
Ikumbukwe hii hospital iliboreshwa mno enzi za Magu na kuongezewa uwezo wa vifaa tiba na wataalam.
Lakini cha ajabu ni siku kadhaa sasa hospital haina huduma ya maji. Tahadhari ni kuwa ukienda na mgonjwa beba shuka maana hakuna mashuka, yote ni machafu.
Hali ni mbaya. Ummy hata kama unalijua hili najua linakuumiza ila yawezekana lipo nje ya uwezo wako.
Wakati huo Juma Aweso yupo Marekani anakula keki na Kikwete New York. Huku wengine wanaimba mama anaupiga mwingi.
Hivi na mvua hizi utasingizia nini sababu ya kukosa maji. Mungu anazidi kuwaumbua.
Mama nae yupo bize kugawa hela kwenye michezo. Hawa watu hawana uchungu na lolote sababu wanajua wao, watoto zao na wajukuu zao hawawezi pata huduma yoyote kwenye hizi hospital. Hizi ni za wanyonge.
Enzi za Magu aliweka utaratibu wa hawa viongozi kutibiwa pia kwenye hizi hospital.
Kwa sasa wanapishana angani kama chini moto unawaka(Benard Membe).
Fala wewe huyo unaye mkashifu ndie alisimamia vema mambo yakaenda. Nyoko nyoko nyoko nini hapo?I hate it, mada nzuri halafu mnamalizia na maujinga
Hata kule Tabata nimekuta wanalalamika siku tatu sasa Maji hakuna.Maeneo mengi ya jimbo la ubungo kwa wiki sasa hayana maji na hakuna maelezo yoyote
Shukrani ila ndio nimeshasema, ukiumia sana nenda kazikwe chato. He belongs to the past. Sijawahi kumsujudia ever since.Fala wewe huyo unaye mkashifu ndie alisimamia vema mambo yakaenda. Nyoko nyoko nyoko nini hapo?
Kwani kuna mtu amemsujudia?wewe ni chokoShukrani ila ndio nimeshasema, ukiumia sana nenda kazikwe chato. He belongs to the past. Sijawahi kumsujudia ever since.
Choko ni wewe na mwendawazimu mwenzako, shut up tafuta wa level Yako DogoKwani kuna mtu amemsujudia?wewe ni choko
Halafu kuna watu wanatumia pesa kufanya party z kumpongeza Mama kwa miaka miwili ya uongozi,na waziri yupo USA anakula mema ya nchiHii ni hospital kubwa ya kimataifa inayohudumia watu kutoka maeneo mbalimbali nchini na duniani.
Kwa mujibu wa maelezo, ndio hospital ya mwisho ambapo mgonjwa akishindikana basi anapelekwa nje ya nchi. Maana yake inashikilia roho za wengi na ina mabingwa wa kutosha.
Ikumbukwe hii hospital iliboreshwa mno enzi za Magu na kuongezewa uwezo wa vifaa tiba na wataalam.
Lakini cha ajabu ni siku kadhaa sasa hospital haina huduma ya maji. Tahadhari ni kuwa ukienda na mgonjwa beba shuka maana hakuna mashuka, yote ni machafu.
Hali ni mbaya. Ummy hata kama unalijua hili najua linakuumiza ila yawezekana lipo nje ya uwezo wako.
Wakati huo Juma Aweso yupo Marekani anakula keki na Kikwete New York. Huku wengine wanaimba mama anaupiga mwingi.
Hivi na mvua hizi utasingizia nini sababu ya kukosa maji. Mungu anazidi kuwaumbua.
Mama nae yupo bize kugawa hela kwenye michezo. Hawa watu hawana uchungu na lolote sababu wanajua wao, watoto zao na wajukuu zao hawawezi pata huduma yoyote kwenye hizi hospital. Hizi ni za wanyonge.
Enzi za Magu aliweka utaratibu wa hawa viongozi kutibiwa pia kwenye hizi hospital.
Kwa sasa wanapishana angani kama chini moto unawaka(Benard Membe).
Jamaa na dawasa yake wanacheza sana na mitandao ya kijamii kuonyesha kama wanapiga kazi,ila kiuhalisia ni aibu kwao na chama chao maana miaka 60 na ya uhuru jiji kama la dar linakua na shida ya maji na kukiwa na vyanzo kibao vya maji,huyo mbunge wa kibamba mtemvu na madiwani wake ndio wamiliki wa vicanter vya kuuza maji,ikitokea shida kama hii kwao ndio faraja kwao wanapiga pesa huku wananchi wakitaabika!Waziri yuko Marekani
Mbunge ndio kiongozi wa macartel wa kuuza maji na vicanter,hao cartels maji yanapokatika kwao ndio neema maana ndio wanapopiga pesa na muda mwingine wanashirikiana na dawasa kibamba kwa maksudi kukata maji,yan waziri wa maji afanye apige transfer wafanyakazi wote wa dawasa hasa hasa wa kibamba,kinyerezi n.k alete watu wapya hadi wale vibarua,na apige ban gari za kuuza maji labda tatizo ndio litapunguaMBUNGE yuko wapi?
Hakuna Maji boss, Siku ya Nne/Tano.Mbona Kibamba hakunaga shida ya maji? au haya yanayotoka huku mitaani ni yale ya mchina? Hebu toa ufafanuzi maana wengine tunaishi hapahapa Kibamba for years
Jiwe=shetanHii ni hospital kubwa ya kimataifa inayohudumia watu kutoka maeneo mbalimbali nchini na duniani.
Kwa mujibu wa maelezo, ndio hospital ya mwisho ambapo mgonjwa akishindikana basi anapelekwa nje ya nchi. Maana yake inashikilia roho za wengi na ina mabingwa wa kutosha.
Ikumbukwe hii hospital iliboreshwa mno enzi za Magu na kuongezewa uwezo wa vifaa tiba na wataalam.
Lakini cha ajabu ni siku kadhaa sasa hospital haina huduma ya maji. Tahadhari ni kuwa ukienda na mgonjwa beba shuka maana hakuna mashuka, yote ni machafu.
Hali ni mbaya. Ummy hata kama unalijua hili najua linakuumiza ila yawezekana lipo nje ya uwezo wako.
Wakati huo Juma Aweso yupo Marekani anakula keki na Kikwete New York. Huku wengine wanaimba mama anaupiga mwingi.
Hivi na mvua hizi utasingizia nini sababu ya kukosa maji. Mungu anazidi kuwaumbua.
Mama nae yupo bize kugawa hela kwenye michezo. Hawa watu hawana uchungu na lolote sababu wanajua wao, watoto zao na wajukuu zao hawawezi pata huduma yoyote kwenye hizi hospital. Hizi ni za wanyonge.
Enzi za Magu aliweka utaratibu wa hawa viongozi kutibiwa pia kwenye hizi hospital.
Kwa sasa wanapishana angani kama chini moto unawaka(Benard Membe).
Bado kidogo tu nchi hii tutaanza kuwashugulikia nyie mashogaZ
Choko ni wewe na mwendawazimu mwenzako, shut up tafuta wa level Yako Dogo
Wazee mbona mnaandika vitu vya kijinga kwenye mada muhimu kama hizi,mnakuwaje na roho za ajabu kiasi hicho wakuu,hapa tunazungumzia maisha na Afya za watu wewe unaweka chuki na utani sehemu sio mahala pake,au unataka tukufanyie KISOMO?.Akasimamie utawala wa DAWASA?
Sasa huyo mkurugenzi wa Mloganzila atumbuliwe kwa sababu gani?Wazee mbona mnaandika vitu vya kijinga kwenye mada muhimu kama hizi,mnakuwaje na roho za ajabu kiasi hicho wakuu,hapa tunazungumzia maisha na Afya za watu wewe unaweka chuki na utani sehemu sio mahala pake,au unataka tukufanyie KISOMO?.
Jitahid basi kuwa na moyo wa utu leo yako nzuri ila kesho ya ndugu yako inaweza kuwa mbaya akaitaji msahada sehemu kama Mloganzira.
Mzee tumia kichwa chako vizuri angalia mada inazungumzia nini,huyo JPM keshakufa haitobadili chochote kama ulitumbuliwa au alikufilisi,Changia kwa Busara mkuu.Jiwe=shetan