zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 10,142
- 21,465
Siku ukiwa na jina utaelewa kwamba unatudanganya hapaKwa kifupi kilichomuua mtoto Martha sio huyo mwenzake bali ni dawa alizopewa! Vifo vingi sana zaidi ya 85% husababishwa na matibabu ya ugonjwa yanayoendelea, huu ndo ukweli.
Bahati mbaya wajinga kwenye jamii ni wengi na hawapo tayari kusikia haya! Utasikia wananchi wanalalamika kwa kukosa huduma za afya, yaani wajengewe zahanati huko vijijini, wakati dawa halisi zipo kwenye vyakula wanavokula, vinywaji na mazingira bora.
Wao wanadhani panadol ndo dawa ya kumtibu mtoto, kumbe asingepewa kabisa hizo dawa bila shaka angepona with time.
Poleni wanafamilia, ila acheni ujinga
Kwamba kwA tukio kama hili mtoto hakutakiwa kupewa Panadol angepewa chakula gani/kinywaji gani kutibu hii hali