Mshtuko anga la Tanzania kisiasa

Mshtuko anga la Tanzania kisiasa

buhabi

Member
Joined
Dec 14, 2013
Posts
23
Reaction score
13
Wakuu salaam!

Hold up, nakuletea habari ambazo sio ramli ni siasa tupu. Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni.

Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.

Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology. Kama unakipenda chama utabaki salama lakini kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.

Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.
 
Funguka wewe. Acha kujifanya unaotea otea ili huko mbele likitokea tukio ujifanye Mimi nilishajua.
 
Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.

Hizi ngonjera kamuimbie Nyosso.
 
Buhabi ni vyema ukafunguka aisee, ili ikitokea na ww tukuweke kwenye kundi la tycoons wa JF wakina labani, mzee mwanakijiji, yericko na wengine
 
Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.

Ungeanza na 'Kitendawili' tujibu 'Tega' ndiyo uendelee .....
 
Shock..........

attachment.php

Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.
 
Kwa sasa tunasubiri toroka uje.
Dr Slaa na Mzee Mwanakijiji tunajua wanachokipanga kuanzia tarehe tano.
Kwa mara ya kwanza nami nitam-classify Dr Slaa pamoja na Wapuuzi.
 
Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.

Tumeshazoea mishtuko huo unaokuja utakuwa wa kawaida
 
Huyu Mjombaa alikujatu, kutafuta Kiki simnajua Siku hizi Jukwaa limevamiwa!
 
Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.
Kwanza umeanza na defence mechanism ambayo kwa public speakers siyo kitu kizuri sana. Kama unalijua jambo na una uhakika nalo why ujidefence in the first place? Tusipotezeane muda. Hata shehe yahaya utabiri wake uliluwa unabuma so who are you to deceive us!
 
Aachen porojo ambazo mwisho wa siku zinakuwa urojo..iko mikonon mwe2 tunachagua lowassa hata kama hawatak ,hata wageuze mbingu chin juu ...na siyo mahaba ni Kwa sababu tunataka katiba mpya ya wananchi...
 
Wakuu salaam
Hold up ,nakuletea habar ambazo sio ramli ni siasa tupu
Ukisataajabu ya mussa utayaona ya filauni.
Within few days to come mshtuko mkubwa sana n pengine ndio utakao amua matokeo hasa ya urais unakuja.
Wenye mihemko ya kisiasa na wasio na political maturity ni vema wakajiandaa ki psychology ...
Kama unakipenda chama utabaki salama lakin kama unampenda mwanasiasa tarajia stroke.
Soon coming nasisitiza hio ndio siasa ambayo wengi wetu tulijenga misingi kwa watu na sio sera za vyama.

Hii habari niliona kwenye page ya makamba kuanzia mwezi WA Tisa sasa sijajua ni mpango gani Chama cha majambazi kinataka kuleta.
 
Back
Top Bottom