Mshtuko anga la Tanzania kisiasa

Mshtuko anga la Tanzania kisiasa

Nadhan wote mmeona kua slaa alitakiwa awe jukwaani lakin kwa sababu za kiusalama hajaweza kupanda jukwaan
But as i reported i expected awe jukwaan jana tayar
 
Natamani uchaguzi upite ili tuheshimiane, yaani sasa ni mitusi mitusi tu kwa kwenda mbele.. Wengine wamegombana na wake zao huko wanakuja kumalizia hasira kwa kutukana watu jukwaa la siasa..
 
Sisi ndio watanzania.......na ndio tulio na maamuzi na mustakabali wa nchi yetu..........hakuna wa kutubabaisha.......

Pia Preta kwenye mtanzania ya leo kwamba baadhi ya majimbo ya Kanisa viongozi wa Kidini wamepewa kibali ya kufanya Ibada Jumamosi tarehe 24 hili tarehe 25 waumini wakapige kura,natamani Madhehebu yote ya Kikristu wasali tarehe 24 hili tarehe 25 wakapige kura waumini wao.Kweli sasa hivi naona kutakuwa na kitu kinakuja tena kizuri.
 
Back
Top Bottom