mshkaki ulionikumbusha mbaali:kisa cha kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mshkaki ulionikumbusha mbaali:kisa cha kweli

Discussion in 'Jamii Photos' started by babukijana, May 15, 2010.

 1. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  [​IMG]hii picha imenikumbusha mbali sana,zamani nilipokuwa mdogo sana mitaa ya mbeya,kuna jamaa alikuwa kampakia demu wake kwenye pikipiki aisee nakubali alikua mzuri hasa shepu ya kibantu,sasa jamaa alikuwa anateremka mteremko mkali na kulikua na kona kali sana na jamaa alikua spidi kali pia,sijui ikawaje yule mdada akatereza kutoka kwenye pikipiki na kudondoka,bahati mbaya gauni alilovaa likanasa kwenye taa ya indiketa ya pikipiki aisee,jamaa hana habari.alimburuza yule dada umbali mrefu kweli kwenye lami,mpaka anasimama loh yule dada kichwa kilikuwa hakitamaniki,ubongo wote nje,yaani sikulala siku hiyo kwa kuota.sijui kama yule dada alipona.
   
Loading...