Urassa sunday
Member
- Jan 30, 2020
- 28
- 123
Hiyo ndo imekaa vibaya kabisa, bora hata aliyeoa anayefahamika maana ex wa mke wako anaweza kumpa hata mshikaji ABC za namna ya kumridhisha huyo mke kuliko mke uliyemuoa ambaye background yake huifahamu vzr. Maana kwako ataigiza ni bonge la mlokole kumbe historia yake unakuta unakuta alikuwa akipenda mtungo au kuliwa ndogo na siku akikutana na ex au ma-ex wake lazima wamkune.Ndio maana nilipotaka kuoa inibidi nivuke mpaka ili kuepuka mambo kama haya.
Hiyo ndo imekaa vibaya kabisa, bora hata aliyeoa anayefahamika maana ex wa mke wako anaweza kumpa hata mshikaji ABC za namna ya kumridhisha huyo mke kuliko mke uliyemuoa ambaye background yake huifahamu vzr. Maana kwako ataigiza ni bonge la mlokole kumbe historia yake unakuta unakuta alikuwa akipenda mtungo au kuliwa ndogo na siku akikutana na ex au ma-ex wake lazima wamkune.
TULIA KAKA USIJISIFU HANA WANAWAKE WA SIKU HIZI HAWATABIRIKI
Mimi sijaoa bado ingawa najua ntaoa x wa mtu mwingine lakini sionwa mshkaji wanguUlitaka huyo dada asiolewe? Wewe mwenyewe umeoa X - wa mtu mwingine. Cha ajabu hapo ni kipi?
Unataka kutusumbua tu kumbe suluhisho unalo kbsaSiwezi kupasha kiporo na uyo manzi ntajitaidi sana hata asijue mme wake na rafki yangu sitaenda kwao hata iweje akitaka na yeye asije kwangu poa tu
Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
Wanahitaji pasipoti na viza kuja hapa. Siyo rahisi hivyo.
Kuoa sikuhizi yaani sio jambo la kujivunia kabisalimekuwa jambo la kumdhalilisha mwanaume.
Naanza kukumbuka maneno ya kwenye vitabu vitakatifu wanawake watawatafuta wanaume na kuwaambia nioe uniondolee aibu hii.
Kuna demu nilisomaga nae chuo class walipiga 4,mwaka wa pili walipiga watatu,mtaani tulikaa nae mtaa mmoja walipiga 2... Imagine mwanamke kama huyu alikotoka mpk kafika chuo..
Ngumu kumeza kaolewa week iliyopita sasa unajiuliza mwanamke kama huyu unamuweka status kabisa eti mke wangu kama sio kujitia aibu nini na mali mtu unatoa kabisa kuoa takataka...
No wonder,cohabitation imekuwa common siku hizi.