Kutukana ndicho mnachokiweza hapo ufipanilitaka nikutukane tusi baya wewe mleta mada basi nimeogopa mods wangenishukia kama mwewe, lakini huu ulioleta ni uhalo mtupu. Kuna majimbo kama Mtera mbunge weke anashinda humo jimboni yana nini? ZAIDI WANANCHI WAKE WALIWAUWA WALE WANASAYANSI WA SERIAN KWA IMANI ZA KIJINGA.
acha wamlete tu ...kipigo atakachopata hatokuja kusahau mileleWasimdanganye yeye aende kwao kibondo kigoma wala hawamjui msimtafutie aibu za buree mana hata nusu ya kura za mshindi hatozipata
CHADEMA imewasaidia nini?Waha ingawa nyie ni mashemeji na wakwe zangu lakini kuanza kuichagua CCM ni upumbavu uliotukuka mtapata tabu sana hayo mawese yenu mtatafuta kwa kuyauza si mnaona kilichowapata wamakonde kwenye korosho
Sent using Jamii Forums mobile app