Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,545
- 9,042
Ni ulofa na upumbavu kuamini kuwa eti 80% ya vijana watamchagua lowasa na 20% tu ndio watamchagua magufuli. Huu ni ulofa uliopitiliza. Wazalendo wote bila kujali umri wao watamchagua magufuli. Lowasa kura zake ni kitoka kwa wanywa viroba.Nimefanya anlysis baada ya kufanya research
kwenye makundi mbali mbali ya watu kulingana na
umri wao,na pia Nimefanya utafiti juu ya
wagombea wawili wenye nguvu (Mh.Lowasa na
Dr.Magufuli).
Nime-assume kwamba wagombea ni wawili hivyo basi
kura zote zitaenda kwao.
Nimecategorise wapiga
kura kwa umri,kutokana na takwimu ya tume ya taifa ya uchaguzi,wapiga kura wenye
umri kuanzia miaka 18-35 ni 12,894,576=57%,
36-50 ni 5,690,668=25% na 50-Above ni
4,165,544=18%.
CCM wana wanachama wasiozidi mil 5, ambayo ni
sawa na 22% ya wapiga kura wote,hvyo basi nitawapa 22% ya wapiga
kura kwa kila category.
kutokana na research niliyofanya, 80% ya wapiga
kura wenye umri wa miaka 18-35 watamchagua
Lowasa na 20% Magufuli,ukifanya calculation 22%
ya voters kwenye hili kundi ni 2,836,806, 20% ya
wanaobaki ni 1,926,215 na 80% ni 8,046,215, hvyo
basi jumla ya kura za wagombea ni LOWASA
8,046,215,Magufuli 4,848,359.
kwa 36-50 voters, 55% watamchagua Lowasa, 45%
watamchagua Magufuli,22% kwenye hili kundi ni
1,251,946,45% ya wanaobaki ni 1,997,424 na 55%
ni 2,441,296,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
2,441,296, Magufuli 3,249,371.
Kwa 50-Above 70% watamchagua Magufuli, 30%
watamchagua Lowasa, 22% kwenye hili kundi ni
916,419,30% ya wanaobaki ni 974,737,70% ni
2,274,387,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
974,737, Magufuli 3,190,806.
kutokana na analysis hii Mh.Lowasa atashinda urais
kwa kupata jumla ya kura 11,462,248 sawa na
asilimia 50.4.
Magufuli atapata jumla ya kura 11,288,536 sawa na
asilimia 49.6.
Margin of error +5or-5%.
NOTE: Mgombea wa chadema/ukawa ana nafasi
kubwa sana ya kushinda ukizingatia kwamba sija-
consider zile kura za moja kwa moja kutoka kwa
wanachama washirika wa ukawa lakini pia 10% ya
wanachama wa ccm wana imani na Lowasa kuliko
magufuli na wako tayari kumchagua Lowasa.
Kuna kura za wanachuo, mawakala, vijana wa jkt hizo zitoe kwenye hesabu ya Lowasa
Hayo mahesabu yangeonesha ushindi kwa Magufuli basi ungeonekana ushapewa buku7 na wangeanza kuchambua mahesabu yako na kwa kuyapinga,ila hapo umefurahisha hivyo hawaitaji hata kuchambua mahesabu yako.
Hapo umechemka mbaya mkuu. Kwanza kabisa hao unaowaita vijana asilimia 57 na unadai wanamuunga mkono EL sahau hiyo. Wameshasanuka mbaya. Pili ukumbuke kuwa UKAWA watagawana kura na ACT na vyama vingine vyote isipokuwa CCM wana wanachama wao wengi ambao hawadanganyikagi miaka yote. Hayo mahesabu kayafikirie upya mkuu ni ya zamani sana. Upepo ushageuka kitambo. Bodaboda hawafiki hata M1 na wao si wote wako huko.
Ninachoweza kukubaliana na mleta uzi ni hiyo tofauti ya asilimia. Kiukweli kabisa hakuna namna yeyote halali Dr Magufuli/Hon Lowassa atamzidi mwenzio kwa zaidi ya asilimia5, uwezekano huo haupi na Common thinking inakataa. Hivyo ushindi wa Rais ajae hautakuwa wa kishindo kwa namna yoyote iwayo. Ni 1-5% tu difference margin!
Nimefanya anlysis baada ya kufanya research
kwenye makundi mbali mbali ya watu kulingana na
umri wao,na pia Nimefanya utafiti juu ya
wagombea wawili wenye nguvu (Mh.Lowasa na
Dr.Magufuli).
Nime-assume kwamba wagombea ni wawili hivyo basi
kura zote zitaenda kwao.
Nimecategorise wapiga
kura kwa umri,kutokana na takwimu ya tume ya taifa ya uchaguzi,wapiga kura wenye
umri kuanzia miaka 18-35 ni 12,894,576=57%,
36-50 ni 5,690,668=25% na 50-Above ni
4,165,544=18%.
CCM wana wanachama wasiozidi mil 5, ambayo ni
sawa na 22% ya wapiga kura wote,hvyo basi nitawapa 22% ya wapiga
kura kwa kila category.
kutokana na research niliyofanya, 80% ya wapiga
kura wenye umri wa miaka 18-35 watamchagua
Lowasa na 20% Magufuli,ukifanya calculation 22%
ya voters kwenye hili kundi ni 2,836,806, 20% ya
wanaobaki ni 1,926,215 na 80% ni 8,046,215, hvyo
basi jumla ya kura za wagombea ni LOWASA
8,046,215,Magufuli 4,848,359.
kwa 36-50 voters, 55% watamchagua Lowasa, 45%
watamchagua Magufuli,22% kwenye hili kundi ni
1,251,946,45% ya wanaobaki ni 1,997,424 na 55%
ni 2,441,296,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
2,441,296, Magufuli 3,249,371.
Kwa 50-Above 70% watamchagua Magufuli, 30%
watamchagua Lowasa, 22% kwenye hili kundi ni
916,419,30% ya wanaobaki ni 974,737,70% ni
2,274,387,jumla ya kura kwa wagombea, Lowasa
974,737, Magufuli 3,190,806.
kutokana na analysis hii Mh.Lowasa atashinda urais
kwa kupata jumla ya kura 11,462,248 sawa na
asilimia 50.4.
Magufuli atapata jumla ya kura 11,288,536 sawa na
asilimia 49.6.
Margin of error +5or-5%.
NOTE: Mgombea wa chadema/ukawa ana nafasi
kubwa sana ya kushinda ukizingatia kwamba sija-
consider zile kura za moja kwa moja kutoka kwa
wanachama washirika wa ukawa lakini pia 10% ya
wanachama wa ccm wana imani na Lowasa kuliko
magufuli na wako tayari kumchagua Lowasa.
Watanzania ni mbayuwayuNimefanya anlysis baada ya kufanya research

Don't panic mkuu,uko too emotional,kama utaweza kufikiria zaidi ya hapo kidogo utanielewa,hpa wale wanachama wa ccm 5M wote wameenda kwenye mahesabu ya Magufuli direct,wakati wale wachadema / ukawa wamegawana,nani kawa favoured hpa????Hapo umechemka mbaya mkuu. Kwanza kabisa hao unaowaita vijana asilimia 57 na unadai wanamuunga mkono EL sahau hiyo. Wameshasanuka mbaya. Pili ukumbuke kuwa UKAWA watagawana kura na ACT na vyama vingine vyote isipokuwa CCM wana wanachama wao wengi ambao hawadanganyikagi miaka yote. Hayo mahesabu kayafikirie upya mkuu ni ya zamani sana. Upepo ushageuka kitambo. Bodaboda hawafiki hata M1 na wao si wote wako huko.
Asante
Don't panic mkuu,uko too emotional,kama utaweza kufikiria zaidi ya hapo kidogo utanielewa,hpa wale wanachama wa ccm 5M wote wameenda kwenye mahesabu ya Magufuli direct,wakati wale wachadema / ukawa wamegawana,nani kawa favoured hpa????
Kuhusu hao vijana,naomba ujaribu kufanya research mwenyewe,chukua sample size yoyote unayotaka ww then utaona percentage distribution.
Exactly Numbers doesn't lie,wasiojua hesabu najua watapingana na mimi kwa nguvu zao zote bila facts.Big up mkuu numbers hazidanyi hwz kubshana na numbers kwa7bu znkupa validity ya uchambuz wko hpo ni analysis ongeza na mwamko wa wanaichi kwa sasa utapta jibu
Ulikuwa wapi siku zote mkuu? Haya uliyoandika ni Mungu kakuongoza si mwingineNimefanya anlysis baada ya kufanya research