Mshindi Oktoba 25 (mathematical analysis)

Hayo mahesabu yangeonesha ushindi kwa Magufuli basi ungeonekana ushapewa buku7 na wangeanza kuchambua mahesabu yako na kwa kuyapinga,ila hapo umefurahisha hivyo hawaitaji hata kuchambua mahesabu yako.
 
Kuna kura za wanachuo, mawakala, vijana wa jkt hizo zitoe kwenye hesabu ya Lowasa

Ndio maana kuna margin of error, nadhani hata magufuli ana wapiga kura wake huko.
 
Hayo mahesabu yangeonesha ushindi kwa Magufuli basi ungeonekana ushapewa buku7 na wangeanza kuchambua mahesabu yako na kwa kuyapinga,ila hapo umefurahisha hivyo hawaitaji hata kuchambua mahesabu yako.

unahisi haya mahesabu yana makosa gani??
 
Lowassa fasta 75% - 80%.... stop this long false maths...!!!

Lowassa will WIN easily 75% - 80%
 
Haya majamaa ni machizi sana apo akionyeshwa Magufuli kashinda yatatoa matusi ya marofa subirieni oct28 Magufuli akiapishwa ndo mtajua wapumbavu wote Mnao shabikia Lowasa mumesha pimwa akili...
 
Hapo umechemka mbaya mkuu. Kwanza kabisa hao unaowaita vijana asilimia 57 na unadai wanamuunga mkono EL sahau hiyo. Wameshasanuka mbaya. Pili ukumbuke kuwa UKAWA watagawana kura na ACT na vyama vingine vyote isipokuwa CCM wana wanachama wao wengi ambao hawadanganyikagi miaka yote. Hayo mahesabu kayafikirie upya mkuu ni ya zamani sana. Upepo ushageuka kitambo. Bodaboda hawafiki hata M1 na wao si wote wako huko.
 
Hii analysis imei-favour ccm kwa kiasi kikubwa lakini ni dhairi hajaweza kupenya hii ina maana kwamba hakuna possibility ya magufuli kushinda uchaguzi huu kama uchaguzi utakuwa wa uhuru na haki.
Hakuna sheria inayokataza kuota nchi hii.
 
Magufuli aseme tu atawachukulia hatua zipi wahusika wa escrow anauhakika wa kura yangu na mia zilizopo nyuma yangu.
 
Kaserikali ka mseto kaleee!... kananukia. Mathematically umejitahidi ila ongeza bidii punguza error ndogo ndogo
 
Hao wanachama wa ccm ndio watakao mpigia lowassa kura soma analysis vizur,. Lowassa anapendwa nje na ndani ya ccm
 
Hapo umechemka mbaya mkuu. Kwanza kabisa hao unaowaita vijana asilimia 57 na unadai wanamuunga mkono EL sahau hiyo. Wameshasanuka mbaya. Pili ukumbuke kuwa UKAWA watagawana kura na ACT na vyama vingine vyote isipokuwa CCM wana wanachama wao wengi ambao hawadanganyikagi miaka yote. Hayo mahesabu kayafikirie upya mkuu ni ya zamani sana. Upepo ushageuka kitambo. Bodaboda hawafiki hata M1 na wao si wote wako huko.
 
Umeanza vizuri sana kisayansi sasa uko mwisho umeharibu kwa kuweka mbwembwe za siasa zaidi kuliko sayansi
 
Sio wewe Bali ni ujinga wako na ushabiki wako una kusumbuwa kwani unacho kiongea ni Pumba tupu haipo na Haita tokea

Hapa kazi tu ushindi niwetu
 
Bao la mkono may affect your results mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…