Daktari wa Meno
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 509
- 1,610
Mimi ni Daktari wa Meno, nafanya kazi usafi majumbani kwa watu, nimeanza shughuli hii yapata miaka 7 na ninahudumia familia ya watoto 4 na wategemezi wengine 7.Ungeelezea kwa kifupi aina ya 'Mkono' unaotaka kutoa ingekuwa umeweka uzito fulani.
Uko Bongo au wapi na unatarajia kutangaza kupitia wapi?Mimi ni Daktari wa Meno, nafanya kazi usafi majumbani kwa watu, nimeanza shughuli hii yapata miaka 7 na ninahudumia familia ya watoto 4 na wategemezi wengine 7.
(Nitakusaidia kutangaza kazi yako ila iwe ya kipekee)
Subiri akipatikana mtu atakuja kukupa ushuhuda.Uko Bongo au wapi na unatarajia kutangaza kupitia wapi?
Twende twende twende kuna jamaa hapa wanafanya comedy ya kimya kimya maana ni mabubu,, wakamate mikono wanaitaji media coverageHabarini,
Nina imani hamjambo, leo ninataka kushika mkono watu kadhaa ambao nitavutiwa na kile ambacho wanakifanya.
Kama unaamini kazi/shughuli unayofanya ina upekee na jamii itapata kujifunza kupitia kazi yako unayofanya basi naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe ila kama kuna mtu yeyote ambaye anajihusisha na kazi ambayo unaamini ni ya kipekee ila tu iwe halali basi nikutanishe naye)
Andika kwa ufupi kazi unayofanya nikipata kazi ambayo itakuwa na kitu cha kujifunza basi nitaku- DM ili kuona namna tunavyoweza kuiambia jamii kwa kile anachojihusisha nacho.
(Kwa watakaokuwa Dar es Salaam nitawapa kipaumbele cha kwanza)
Karibuni.
kuna mama mmoja kitaa uwa anafanya mambo ujasiliamali naona sio mchoyo wa elimu maana unaweza kuta wamama na wadada wengi hapo kwake anawafundisha bure tu tu sahivi mtaani kwetu kumejaa vitu vya kisajiliamali sabuni, sijui pilipili mabatiki na n.k sasa sijui wanamkumbukaga huyo mama maana si mwenye uchumi huo ni wakawaida sana..Habarini,
Nina imani hamjambo, leo ninataka kushika mkono watu kadhaa ambao nitavutiwa na kile ambacho wanakifanya.
Kama unaamini kazi/shughuli unayofanya ina upekee na jamii itapata kujifunza kupitia kazi yako unayofanya basi naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe ila kama kuna mtu yeyote ambaye anajihusisha na kazi ambayo unaamini ni ya kipekee ila tu iwe halali basi nikutanishe naye)
Andika kwa ufupi kazi unayofanya nikipata kazi ambayo itakuwa na kitu cha kujifunza basi nitaku- DM ili kuona namna tunavyoweza kuiambia jamii kwa kile anachojihusisha nacho.
(Kwa watakaokuwa Dar es Salaam nitawapa kipaumbele cha kwanza)
Karibu
Mkuu, hakuna jambo la kipekee chini ya jua. Lolote linalofanywa ujue kuna watu waliwahi kulifanya hapo kabla.naomba uelezee kwa ufupi aina ya kazi unayofanya (huenda usiwe wewe ila kama kuna mtu yeyote ambaye anajihusisha na kazi ambayo unaamini ni ya kipekee
Samahani..Ze picha Yu wanti izi noti availabo..plizii trai ageini leta
Wanini Dada kuwa muwazi.mwenzako natafuta sponsor/funder
Wanini Dada kuwa muwazi.