Mshike huyooooo, jamaa anazikimbia

mmmh kwani alimuahidi nani kati ya hao, wakaalikana kumfanyia ki2 mbaya mwee
 
Tatizo la Mbuzi Mzee anatoa picha nila maelezo sana sasa hii inatunyima raha. Walikuwa wanamkimbizia nini huyu bwans na imekuwaje maarusi wakutane wengi hivi kwa ajili ya mtu mme mmoja? Ajabu hii.
 
hii balaa, ningekuwa mimi nisingekimbia, ningewaambia wajipange mstari aje mmoja mmoja mbona wangeisha tu hehehehehehhe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…