Mshikaki toleo jipya.

Ooyoo hii sasa ni kinyaa yaani kila weeki una rudisha rudisha na kama umechemsha sema tukuelimishi uwende wapi ukachukuwe picha mpya tena wala siyo mbali ni magomeni na mwanyamala zipl za kina kaka pla tena safi na muruwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…