YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,374
Shem naona sasa bro kaamua kusarender kabisa[emoji38]
Kwann?
Shem naona sasa bro kaamua kusarender kabisa[emoji38]
Kaamua aingia kwenye chama kabisa kuiba hataki wasukuma nyie bhn kwenu ndoa 🤔 ndio kila kitu 😆😆Kwann?
Atapoyatilinganyabtn ataturudia na Uzi mwingine😆😆Mapenzi hayaingiliwi muache
Aisee watu wanajua kupenda [emoji119]Ndugu nisiwachoshe msinichoshe
Jamaa ametuijia leo akiomba msaada wa ushauri, tukasema acha wengine tuingie hapa, mshikaji kampenda mwanamke lakini hamjui vizuri, sisi tunaishi na mwanamke nyumba moja kama wapangaji maeneo ya kazi.
Mshikaji kampenda huyu mdada ambaye awali alikua anafanya kazi za barbershop, mara kwenye mahotel.
Nowdays mwanamke hanaga kazi yupo nyumbani, lakini anaweza kushinda geto mchana wote na ikifika saa kumi za jioni mwanamke anatoka na anarejea kwenye kuanzia saa tano mpaka hata saa nane.
Mshikaji akimbana mwanamke anamwambia ana mawazo na alienda club kupoteza mawazo, jamaa anampenda demu lakini bi dada anaonyesha Dalili zote za kua ni mwanamke w kudanga.
Jamaa anasema simu za mwanamke muda wote ziko busy mbaya mpaka wanagombana,mshikaji akisafiri inapofika usiku akiwa anampigia simu mwanamke huyu, mawasiliano yanakua ya tabu sana na wakati mwingine anamkatia simu,akija kumuuliza mwanamke anakua mkali na kumtamkia waachane.
Kimsingi jamaa kwa maoni yangu binafsi anapaswa amteme huyu demu,lakini kwa kua amekuja kuomba msaada wa ushauri nini afanye, tukasema tutaongea nae weekend, binafsi nikasema wako wadau waliokutana na kesi hizi za wanawake wa namna hii hebu niwaulizeni japo tumshauri nini hasa
Hawa watu wanaolala uchi pamoja sio wa kuwashauri kitu kabisa waacheniAtapoyatilinganyabtn ataturudia na Uzi mwingine😆😆
😆😆😆😆🤔Htr nikigeuka marambili tu ushasamehe kisa umekutana na jicho la mahaba sasa Leo unakuja kuomba ushauri kwerHawa watu wanaolala uchi pamoja sio wa kuwashauri kitu kabisa waacheni
Wanaingia ndani anafinyiwa kidogo tu anataja kamati ya washauri😆😆😆😆🤔Htr nikigeuka marambili tu ushasamehe kisa umekutana na jicho la mahaba sasa Leo unakuja kuomba ushauri kwer
Hahhahahah inaleta raha lkn shubiri ikiingia sasa tunatafutwa ,😂Wanaingia ndani anafinyiwa kidogo tu anataja kamati ya washauri
Kaamua aingia kwenye chama kabisa kuiba hataki wasukuma nyie bhn kwenu ndoa [emoji848] ndio kila kitu [emoji38][emoji38]
Magomvi yenu makubwa yapo kwenye vigelgele,😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bas sawa
😂😂😂Hii sentensi nzito kwakwerHawa watu wanaolala uchi pamoja sio wa kuwashauri kitu kabisa waacheni
Mpe waraka chief😄Uyo manzi atakuua brother! Achana nae haraka [emoji3][emoji3] Tunajua ni wewe...
Aisee maneno yanajaa mpk yanakaba kooWekeni Paragraph jamani tutauana.