Mshenga kuoa yeye

namuona chefuuuu kweli kijuso
Yani Hashuo limemwisha uso mduuuchuu,eti wifi wewe ndio muokozi wangu wakati mwanzo alikua anasema,staki tena nikiwa kwangu ndio mara kaja dada wa uk,mara wa tz mara wa masaika nataka niwe na mumewangu tuu,sasa atamsikia kama mkweli naende kwa waogea mbuni wenzie..
 

ahahahha wifiiii mjibu kaka ameshaoa na acha kutusumbua ulivofatwa mwanzo hukuyajua haya leo ndo umezinduka enh
 
ahahahha wifiiii mjibu kaka ameshaoa na acha kutusumbua ulivofatwa mwanzo hukuyajua haya leo ndo umezinduka enh
Anakumbuka shuka kumeshakucha,shosti mie tena nimemwambia unajua kwetu hatuna tabia yakuoa wake wawili sasa haiwi lakini yule bwana ulosema amekuroga na wewe kamroge ili akuoe...
 
Anakumbuka shuka kumeshakucha,shosti mie tena nimemwambia unajua kwetu hatuna tabia yakuoa wake wawili sasa haiwi lakini yule bwana ulosema amekuroga na wewe kamroge ili akuoe...

hahahha kama mbwai mbwai tu ni kweli nae akaroge aolewe me ningeshukuru mungu hata huko kwenu msingeniona kwanza aibu asee
 
Hahahah nimecheka kweli mgoshi anapokua mshenga tegemea overtake ....na huyo mdada hana lolote anataka tu kwenda majuu
 
Msamaha upi tena? Hakuna cha ku-rewind hapo ndio imetoka tena. Akamsaidie jamaa kukodisha baiskeli kule Tanga.
Ha ha ha nimecheka....imetoka hio ikirudi ina pancha!!Watu wajitulize jamani sio mtu unahangaika ka unataka kutaga yai...ona sasa yalomkuta bi dada!!
 
kiustaarabu tu mshenga mpotezeeni na huyo kigeugeu msimkubalie.
akizidi kuja mwambie ipo siku atachezea makofi
 
Hahahah nimecheka kweli mgoshi anapokua mshenga tegemea overtake ....na huyo mdada hana lolote anataka tu kwenda majuu
Yani bora alivyo jionyesha hapa tabia yake kuliko angefika huko majuu,angeigawa kama pipi..
 
basi ni jamii ya fisi kila mfupa anataka uwe wake
Ameona haya yani hata salam hakuna na ilikua kutwa vp mbona jamaa amekua kimnya matumizi mkewe mtarajiwa amemaliza
yeye ndio fisadi anaekuja kuchukua hela home kupeleka huyo mtarajiwa mwenyewe atapiga cm tuu tena na pua anabana
pensa nimepataaa ,hakuna Ahsante wala nini na hutomsikia tenaaa mpaka akipelekewe hela tena.
 
hahaaaaa imekula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…