Mshenga kuoa yeye

Tamaa za mudaa mfupii zimemponzaa .daaaaa kwelii bwana alivyosema tuishi nao kwa akili hakukoseaa.
Chakushangaza vipi unadanganywa na mshenga mapaka unamvulia nguo yani nisema kuna wanaume hodari kwa kudanganya..
 
Tatizo aliwaonja wanaume wa Tanga, huyo akajiroga yeye mwenyewe

Balaa tuu mkuu yani umeshapata wakukuoa na shule hukwenda la saba ndio mwisho na demand tele sawa,still unafanya madudu...
 
Asante lakini ZZ unajua kuna kitu mpaka sasa nashindwa kuelewa yani huyu mdogo wangu juu yakua kasikia alivyofanya rafiki yake lakini still amempa hela M1 ya mtaji sasa sielewi nikwanini...
Belv.Me ! yasikushughulishe hayo utapasuwa kichwa!! ..hao ni marafiki, ujana huo wana siri zao.... wee potezea!!
 
Belv.Me ! yasikushughulishe hayo utapasuwa kichwa!! ..hao ni marafiki, ujana huo wana siri zao.... wee potezea!!
ZZ unajua my lil bro hua mara nyingi hata mtu akimkera hua mpole na sisi wanawake kwenye Family ndio tuna midomo
wao wanakwambia utachukia wangapi kama ipo njia yakutatua jambo tatua wacha maisha ya songe,usigombane dharau tuu..
 
Balaa tuu mkuu yani umeshapata wakukuoa na shule hukwenda la saba ndio mwisho na demand tele sawa,still unafanya madudu...

Usicheze na hao wanaume, ndio ni ujinga wake alijiroga kuwaonja hao
 
Hee mapenzi ya kushkiwa bango bana alijuaje kalogwa huyo ajiandikie hakua rizk ake ndo mana hakuolewa
Na imekua kheir hajaolewa namake ingekua aibu kupitiliza angeigawa kama pipi huko majuu....
 
Sio kweli lol inamaana watanga watamu eeeeeh?

Kwakweli nilikua nasikia tu ila nikapata kuishi jirani na kaka mmoja wa huko, ktk maongezi yake nilipata kujua mengi, na hata utani wake kwa watu tu kuhusiana na hiyo ishu nilimkubali nikawa namwambia huyo mkeo atafaidi sana. Nilikua naona vitendo vya nje kwa mpenzi wake du, sikupata picha huko chumbani, wale wakaka ni balaa wanaanzia nje ya mlango, sebuleni, wakikufikisha chumbani sipati picha, wanacare mbaya mno, na mapenzi wapo juu, japo sijawahi na sitegemei kuwahi.
 
Wacha nikukubalie kwakua umesema nakuunga mkono wengi wao wanajua sasa wadada ndio balaa lol...
 
hahahahaaaa...mshenga nomaaaa...mwambie kaka kasema amekusamehe endelea na maisha yako, ye tayari anamaisha yake na familia yake
 
hahahahaaaa...mshenga nomaaaa...mwambie kaka kasema amekusamehe endelea na maisha yako, ye tayari anamaisha yake na familia yake

Ameoa ana watoto 4 na anakaa kwa baba na mama ,fundi wa baiskeli..
 
Ameoa ana watoto 4 na anakaa kwa baba na mama ,fundi wa baiskeli..

hahahhaaaa....mweeee...muambie familia yetu hatutaki mazoea na wewe..hahaaaa,alilikoroga kweli, alikuwa anabebwa kwenda bafuni nini?!khaaa!!..awakomee!
 
Mshenga lazima faili lake liwe swafi sio kila alie kuzidi umri anafaa kuwa mshenga, back years bado wadogo mshkaji anakutuma ukamtongozee demu yeye domo zege tulikuwa tunamaliza hata akikupa pesa ya kumuhonga demu unajifanya wewe ndo umetoa. Duh ili backfire siku moja ila tuliyamaliza kiume ingawa jamaa ali mind kimtindo na kwao mapene yalikuwapo.
 
hahahhaaaa....mweeee...muambie familia yetu hatutaki mazoea na wewe..hahaaaa,alilikoroga kweli, alikuwa anabebwa kwenda bafuni nini?!khaaa!!..awakomee!
Yule mdada mjinga sana alilimbuka kuona kila akitaka pesa anapata kapewa driver wakumpeleka safari zake,akaona ----- si huyu...
 

Nimbaya na inauma sio sababu kamchukua mwanamke laa,inauma amekufanya mjinga na wewe umemuamini kama mtu wako wa karibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…