habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,754
Wengi hawatokuelewa hapa,Sasa unampa namba ya nini kama hutaki afunge?
Kupenda hakuna mwisho, ni kama njaa tu, ukipata msosi unasahau, ukienda toilet unataman msosi mwingine tena.Kwani mtu anapenda mara ngapi maishani?
Na mtu anashiriki tendo na wangapi katika maisha yake?
seriously..? Hebu jaribu kutofautisha kupenda na kutamani..Kupenda hakuna mwisho, ni kama njaa tu, ukipata msosi unasahau, ukienda toilet unataman msosi mwingine tena.
Its on going process, ni ruksa tu, endelea kupenda mpaka ufe!
Kweli,kheri ubaki bench ujueWengi hawatokuelewa hapa,
It means..
Unampa mchezaji namba ya kuingia uwanjani, ikiwa hutaki afunge goli....
Bora umuweke benchi tu...
If Am not Mistaken
Kuna utepe mdogo sana unaotenganisha vitu hivi viwili. Ni kama asali na sukari ladha ni ile ile ila tofaut ni outlook.S
seriously..? Hebu jaribu kutofautisha kupenda na kutamani..
Semegi wewe ndio umefanya nielewe, sikumuelewa nilipomsoma.Wengi hawatokuelewa hapa,
It means..
Unampa mchezaji namba ya kuingia uwanjani, ikiwa hutaki afunge goli....
Bora umuweke benchi tu...
If Am not Mistaken
Eti eeeh!!!Sasa unampa namba ya nini kama hutaki afunge?
MmmmmmmmmmmmmmhUpendo hukamilika kwa kuunganisha vikojoleo
inaendelea wapi huko tehEti eeeh!!!
Heaven Sent kumbe ndio habari inayoendelea eeeh!!!!