Mshauri wa Kamanda Kova masuala ya kipolisi

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,338
Wakuu salama?

Naomba kumjua mshauri wa kamanda huyu kikazi, kwasababu jana katika newz za ITV nilimuona akitumia nguvu nyingi sanaa kumtaka MD wa UDA Robert Kisena kwenda mara moja police kwa jaziba kali.

Nikajiuliza maswali mengi sana
1. Kuna ulazima gani wa kutumia press kumuita mtuhumiwa police? ambaye police wanapajua kwake na kazini kwake.

2. Kweli Robert hawezipatikana kwa kupitia makachelo wa police?

3. Mshauri wa Kova anajua majukumu yake kweli?

4. Kwanini nguvu nyingi imetumika katika jambo linalopaswa kuanzia CMA na sio police?

5. Loading...........

Kikubwa nataka kumjua mshauri wa huyu kamanda, ni matukio mengi sanaa nakumbuka ukurupuka na mwisho wake serikari inaingia hasara kama Jerry Muro, picha za panya road n.k.

Asanteni
 
Kwani nani kwakwambia Kova anayemshauri Kiutendaji; Huyu ni Kamanda na anao wasaidizi wake ambao kabla ya hatua yoyote wanakaa na Kuweka mikakati ya Kikazi. Polisi sidhani kama wanacho Cheo Cha Mshauri wa RPC..??
 
kwaiyo mleta thread..

Kova anatakiwa awe na orodhaa ndeeefuuu ya wale MOST WANTED..

Na sio mtu mmoja + nguvu kibao.
 
Back
Top Bottom