Xhizo de incredible
Senior Member
- Nov 14, 2018
- 112
- 176
MSHAHARA UNAKUAJE,
Ukiwa na degree ya Ualimu Ukasoma diploma ya nursing ukaajiliwa kwa diploma ya nursing vipi mshahara unasomaje utalipwa kwa ngazi ya diploma au kwa ngazi ya degree nazungumzia serikalini msaada kwenu wadau na jeshini vipi penyewe inakuaje