CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #21
yani bd natafuta venue nimetoka kanisani
Bado hujapata venue??
kila pahala pamejaa aisee na siku ndio inandoka
Happy birthday to me, asante sana Charminglady
hepi besdei mshana jr.....
cosini muulize ana miaka mingapi kwa sasa na je ameshavuka malongo mangapi?
Kwani hii birthday ilikuja ghafla?
hivi watu wanajuaje birthday za watu humu ndani?
pls nijuze
haappy birthday brother..
ladyfurahia am done 40+
charminglady ana jibu sahihi
ladyfurahia am done 40+
waoooooooooo!!! hongera sana kwani kizazi cha sasa hata huo mwaka wako hawavuki labda kwa manati ya chuma
hiyo ni fani ya charminglady shitaki kumwingiliakwani ukinijuza wewe kuna ubaya gani bestito?
huwaga wanaangalia nyota za alfajiri? au?
blaza malengo yametimia hadi sasa...?