Mshangao: Wanaopinga na Kuutetea Mkataba wa TPA na DP World wote ni Wagalatia halafu Watu wanasema kuna Udini!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,974
141,984
Anzia bungeni waliotetea Mkataba wa bandari zaidi ya 90% ni Wagalatia

Nenda Kwenye Mikutano ya CCM Watetezi wengi ni Wagalatia tena tuko nao Kanisa Moja Takatifu La Mitume

Njoo Chadema Wanaopinga wote ni Wagalatia mix ya Mitume na Uinjilisti

Nenda Mbeya kwa Akina Mdude jibu unalo

Hapa hakuna Udini ni Swala la Uelewa wa mambo na Matumizi ya Hekima

Nawatakia Dominica Njema 😄!
 
Umejitahidi, hongera.
 
Na hawa masheh wanaobwajaja huko misikitini kwa lugha ya ukali ni watanzania kweli ukiwasikia kauli zao eti wanaopinga mkataba "machoko ni mapapai"

Watu wenye akili wanapinga mkataba ambao hauna kikomo

Watu wapumbavu utawasikia wakisema mnaopinga mkataba sababu anaewekeza ni mwarabu
 
Hao masheikh na waislamu wenzangu kwa ujumla ambao wanautetea huo mkataba na kuona wenye kupinga huo mkataba ni kwa sababu za udini, mimi najiuliza kwani uislamu utafaidika nini kwenye huo mkataba hadi masheikh wautetee kwa nguvu hivyo?
Baadhi ya maneno ya Lema hayakua mazuri kwa waislamu nahayakua na maana kuyatamka, waislamu wako very sensitive sana ukitaka kudharau dini yao, mfano neno msimtetee Samia kisa ushungi, neno ushungi lilitumika kama kejeli.
 
Kwahiyo masheikh wanautetea huu mkataba kama njia ya kujibu mapigo kama hayo ya akina Lema?
 
Dini imeharibu akili zao ndio maana nchi somalia ipo vitani kwa miaka 40 kwasababu waliwakabidhi waarabu akili zao
Na hawa masheh wanaobwajaja huko misikitini kwa lugha ya ukali ni watanzania kweli ukiwasikia kauli zao eti wanaopinga mkataba "machoko ni mapapai"

Watu wenye akili wanapinga mkataba ambao hauna kikomo

Watu wapumbavu utawasikia wakisema mnaopinga mkataba sababu anaewekeza ni mwarabu
 
Kwahiyo masheikh wanautetea huu mkataba kama njia ya kujibu mapigo kama hayo ya akina Lema?
Baadhi wanutetea kujibu mapigo na baadhi wanutetea kama namna mapadri/maaskofu/wachungaji wanavyoupinga. Mfano mtu kama Slaa au Pengo Leo wanapinga mkataba Kwa mantiki ipi?. Haliyakua waliunga mkono vitendo vya Magufuli vya kifedhuli kabisa, nahata siku Moja hawakuwahi kuvikemea.
 
Bwashee umechanganyikiwa, unawezaje kuongelea wanaopinga na kutetea kwenye sentensi moja?
 
Hao masheikh na waislamu wenzangu kwa ujumla ambao wanautetea huo mkataba na kuona wenye kupinga huo mkataba ni kwa sababu za udini, mimi najiuliza kwani uislamu utafaidika nini kwenye huo mkataba hadi masheikh wautetee kwa nguvu hivyo?
Tumeahidiwa kujengewa misikiti mikubwa kila kona ya nchi, huoni faida hiyo?
 
Kwani udini ni ngono!!

Useme haisemwi au ukiongea wewe ni mwasherati?

Udini uko pale pale, uksbila uko pale pale muhimu ni ustaarabu .

Mbona Dubai 90% ni dini moja na wanaishi vizuri na kuijali nchi yao?
 
Anzia bungeni waliotetea Mkataba wa bandari zaidi ya 90% ni Wagalatia

Nenda Kwenye Mikutano ya CCM Watetezi wengi ni Wagalatia tena tuko nao Kanisa Moja Takatifu La Mitume

Njoo Chadema Wanaopinga wote ni Wagalatia mix ya Mitume na Uinjilisti

Nenda Mbeya kwa Akina Mdude jibu unalo

Hapa hakuna Udini ni Swala la Uelewa wa mambo na Matumizi ya Hekima

Nawatakia Dominica Njema 😄!
Tatizo lenu nyie wavaa kobazi utumwa wa dini umewalewesha mpaka mnaona mwarabu ni ndugu yako kuliko ndugu yako wa damu ambaye havai kobazi.
 
Wewe kuvaa Viatu na Soksi ndio unajiona mjanja kwa Sababu ukifa unazikwa navyo

Bure kabisa wewe!
 
Back
Top Bottom