Unaamini Wanaopinga na Wanaotetea Mkataba wa DP World wanajua Watendalo?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Neno la Kwanza alisema Yesu Kristo pale Msalabani ni " Baba Wasamehe Hawajui Walitendalo"

Na mwisho kabisa ndipo Pontio Pilato akabandika anwani Juu ya Msalaba iliyosomeka " Yesu wa Nazareth Mfalme wa Wayahudi"

Wayahudi walipoipinga hiyo anwani walikuwa Wameshachelewa kwani Pontio Pilato aliwaambia " Niliyoandika Nimeyaandika"

Ndio nasema Sisi ambao Ama Tunapinga Au Tunatetea Mkataba wa TPA na DP World tunajua kwa HAKIKA Tunalotenda?

Mungu wa mbinguni atufumbue Macho ya Rohoni!
 
Jo suga goti juu ya hili,ili tuvuke salama juu ya pito hili🤔
 
Back
Top Bottom