Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Wakuu nimeingia jf jioni hii nakutana na rangi nyeusi badala ya ile nyeupe niliyoizoea kwny mobile app.
Ni vision mpya au ni simu yangu tu?
Ni vision mpya au ni simu yangu tu?
Wewe ndio umebadili..... Ingia setting pale juu kwenye Dark mode toa ile tiki kwenye kibox.Wakuu nimeingia jf jioni hii nakutana na rangi nyeusi badala ya ile nyeupe niliyoizoea kwny mobile app.
Ni vision mpya au ni simu yangu tu?
Wewe ndio umebadili..... Ingia setting pale juu kwenye Dark mode toa ile tiki kwenye kibox.
Pamoja mkuu.!Hahahhaaaa mkuu nimejikuta najicheka mwenyewe. Asante sana.
Wakuu nimeingia jf jioni hii nakutana na rangi nyeusi badala ya ile nyeupe niliyoizoea kwny mobile app.
Ni vision mpya au ni simu yangu tu?
Red Eyes My Dear Just Go And Seek A Medical Advice!
Mimi hua nabadili rangi kila baada ya mwezi basi naenyoj sana.
Leo ndo nimegundua asee km kuna mult-colour jf. Kidogo nimetoa kaushamba
Mwenyewe ndo nimejua kwenye Uzi nimejaribu inaniletea nyeusi nimeona mbaya nikarudi nyeupe.