Ha haaaa,Nina mchango mkubwa sana kwenye kufisha na kufifisha nyota ya chama pendwa
Nimeroga sana hapo kabla lakini mwaka huu nimeroga mpaka jasho langu likawa linanuka uchawi
Nilijenga vilinge majini
Nikajenga vilinge ardhini
Nikajenga na angali
Nimepandikiza gundu kwenye rangi za chama
Wagombea nikawatupia gundu la kinyesi..mkubwa kabisa nikampiga jini kisirani
Nimeroga wala sijisifu ..nimeroga mpaka uchawi ukanikifu
Malighafi zangu maarufu zilikuwa ni
Maji ya gundu
Maji ya janaba bichi
Damu Chafu
Majani ya mkafiri
Nyota ya nuksi
Kinyesi cha popo/ngozi ya kinyonga
Mizizi ya mti chonganishi
Nikavaa koti la ugaguzi..walipokuja nikawapiga gundu wajumbe wakawaona kama maliwato ya jiji
Nikavaa koti la ulokole walipokuja kwa maombi nikawapiga muhuri wa upofu na kuzima nyota zao...walipojitokeza upenuni wajinadi wakakimbiwa na kuzomewa...
Nimejenga madhabahu za giza nyuani mwao
Nikajenga zingine kondeni
Na zingine kwenye mapito yao..hakuna nilipobakisha...na kila waliporudi kwangu kulalamika nikawaambia wamekosea masharti
Project inaendelea..huu ni mrejesho sehemu ya kwanza...mkiona wanakimbiwa..tambueni kuna miba za nungunungu zimetegwa kila pahala...
Mungu akibariki kwa ufunuo huuhakuna mtu mbaya asiye na mazuri yake wala mzuri asiye na mabaya yake. Wote tunayo aidha tunayafanya kizani au hadharani, kinachojalisha ni kuelewa state uliyopo na kufanya mabadiliko bhasi maana Mungu si kama mwanadamu katika hukumu zake
Ungejua navyoumwa ungeanza maombi sasahivi..Mpaka nikupige kwanza ...tena na ile inaitwa banyanyi
Ni kweli kabisa, inategemea umeamkajeSiku hazifanani[emoji28][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Na ukipiga punyeto kuna janaba? Nalo Lina kazi gani??Kwanini best? Au nimekosea kukupa ufafanuzi?
Golgota palikuwa na misalaba mitatu.Usijali yote ni ya kiroho View attachment 1594645
Pokea uponyaji kama ni kweli unaumwa..pokea baraka..pokea mema yote ...Na Mungu aliye hai akubariki kuingia kwako na kutoka kwako ...AAMEN...!!!! Kama unazuga imekula kwako Mungu wetu sio Mungu wa dhihakaUngejua navyoumwa ungeanza maombi sasahivi..
Lakini mkuu kila kitu kwa asili yake ni halisi.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ni ule halisi
Amen.. siwezi zuga nikiwa naumwa huwa nakuwa lipole na lisikivu..😂😂Pokea uponyaji kama ni kweli unaumwa..pokea baraka..pokea mema yote ...Na Mungu aliye hai akubariki kuingia kwako na kutoka kwako ...AAMEN...!!!! Kama unazuga imekula kwako Mungu wetu sio Mungu wa dhihaka
Nilikuwepo jana kwenye uzinduzi nafanya yangu[emoji3][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Anzisha 'mfuko' tuuFund huo mradi, Inaonyesha utaleta/unaleta matokeo chanya.
Refer: Uzinduzi wa stand pale Mbezi.
Kama ni kufitinisha mkuu umefitinisha[emoji38][emoji38][emoji38] kimavi Cha standard gauge..!Nilikuwepo jana kwenye uzinduzi nafanya yangu[emoji3][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Unakumbuka ile ya Mu7 chuttle? Vijana wangu kilingeni walikuwepo....[emoji3]Kama ni kufitinisha mkuu umefitinisha[emoji38][emoji38][emoji38] kimavi Cha standard gauge..!
Hadi Chakwera kaamua kukatiza ziara na kurudi nyumbani kwake Mwalawi[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] nilijiuliza maswali mengi saana.Unakumbuka ile ya Mu7 chuttle? Vijana wangu kilingeni walikuwepo....[emoji3]