Mshana Witch project

mara paa... anayetaja mshindi anaona jina la mgombea mmoja tu kwenye karatasi ya majibu...
 
Duh unatisha
 
Kwenye maombi dhidi ya mabaya kutoka kwa adui huwa tunatamka, "BACK TO SENDER IN THE MIGHTY NAME OF JESUS CHRIST". Mabaya yale humrudia aliyeyatuma na kumdhuru.
 
Tunaingia second phase ambayo ndio muhimu zaidi

Mkuu mbona hatuoni ya kuonekana kwa macho ya nyama na kusikika kwa masikio ya nyama!!
Au ngoma zimegongana hewani huko maana daah siyo kwa haya mapinduzi ya m/kiti!
 
Kwenye maombi dhidi ya mabaya kutoka kwa adui huwa tunatamka, "BACK TO SENDER IN THE MIGHTY NAME OF JESUS CHRIST". Mabaya yale humrudia aliyeyatuma na kumdhuru.
Jina hilo unapolitumia pasipo takiwa huwa linafanya uharibu zaidi. Pole sana kwa kuongeza uharibifu. Yaani mtapingwa kote. Ulishaona mtu anapigwa na Mungu na shetani pamoja?. Ndio chama cha mapinduzi we subiria.
 
Ndio mana wameshinda sana Mqenyez Mungu Hapendi uchawi....
 
Tunaingia second phase ambayo ndio muhimu zaidi
Ushafeli huna lolote na viuchawi vyako vya buku jero warudishie chenji yao uliowatapeli maana mmechapika kisawasawa tunguli lako lime expire
 
Haha Profesa wa janaba mtaaalamu wa kuchezea shahawa mbichi PhD
 

Mshana popote ulipo unahitajika haraka huku. Utueleze wapi na lini uchawi uliwahi kukupa msaada???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…