Mkuu sadakta ama kweli leo umenikumbusha zile enzi zangu kama huyo katoto lakini mimi nilikuwa na kigugumizi kikali tena kule mkoa wa unguja naanzia mwembe tanga kupitea michenzani kiswandui marikiti na mwisho ni mchamba wema na hufika mtendeni kwa maharuki msonga haluwa safi