Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,589
- 3,639
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
Nimecheka[emoji23] [emoji23]Wabongo tuna elimu ya kiubishani tu, sioni kama wanaweza kutengeneza kitu #never!
Na Mshana akitumia vizuri Mauchawi yake aisee full of creativityHivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims,kenzy,deadboy, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
Na Mshana akitumia vizuri Mauchawi yake aisee full of creativity
[emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Ila ni kweli. Pengine wengi wao ni ma-introvert, wapo vizuri tu kwenye keyboard.Hazard CFC said:Tegemea kuwa na mabubu