Mbona Kamusoko anacheza vizuri tu wakati kashagonga 30?! Tumpe muda tuone ataifanyia nini SimbaDah jamaa anakuja kumalizia mpira wake bongo#31yrs
hamna kitu, viongozi wamemleta ili wapige hela, hivi mchezaji mzuri west Africa kwann asiende ulaya ?
huo ni mradi wa viongozi kula hela,mchezaji mzuri wa UG farouq miya wamemshindwaMimi ni Simba damu lakini huyo mchezaji simkubali, ni babu huyo
hangekuwa mzuri angeenda ulaya , huyu atakuwa kama yule jamaa aliyekamatwa na hirizi, waweke records zake tuoneDah jamaa anakuja kumalizia mpira wake bongo#31yrs
eti kamusoko ana miaka 28!!!waafrika bana,sijui kwanini tunafanyana wajinga hivi..sura yenyewe inaonyesha kala chumvi nyingi!
Tuvute subira si atajaribiwa na kocha?huo ni mradi wa viongozi kula hela,mchezaji mzuri wa UG farouq miya wamemshindwa
Wako bize kuchunghuza mapungufu ya Yanga na kuyakosoa hadharani wasijue ndio wanawapa Yanga mwanya wa kurekebisha na kujiimarisha zaidi!Simba wanazingua sana, website yao na mitandao ya kijamii yote imelala fofofo...
Acha waendelee na uongozi wao wa matukio. Wanataka taarifa zao tuzipate kweny magazeti ya udaku wakati vyanzo vyao vya habari vipo na walivizindua kwa mbwembwe.Wako bize kuchunghuza mapungufu ya Yanga na kuyakosoa hadharani wasijue ndio wanawapa Yanga mwanya wa kurekebisha na kujiimarisha zaidi!
Another Pape Nd'aw?ni mapema sana kutoa maoni tusubiri tumuone uwanjani kwani mpira unachezwa hadharani. akiwa galasa kama papa ndaw na akufor ni viongozi wenyewe watakuwa wamejiaribia na sidhani kama hawajajifunza kutokana na makosa yaliyofanyika huko nyuma kwani niliwasikia wakisema hawatasajili tena wachezaji wa kigeni wanaoletwa na mawakala kwa majaribo zaidi watasajili wachezaji waliowafuatilia wao wenyewe kwa muda mrefu.