Mshamba ni Mtu wa namna gani?.

Neno mshamba lilianza kutokana na neno "SHAMBA" wale watu waliokuwa wakitoka vijijini wengi wao ni wakulima wa mashamba wakija mjini tulikuwa tunawaita WASHAMBA, sasa kwa sababu watu wa vijijini (washamba) wakija mjini vitu vingi kwao ni vigeni (hawavijui) basi hilo neno likakua na kubeba maana ya kuwa MSHAMBA ni mtu asiye na ufaham juu ya jambo au kitu fulani, waingereza wanaita IGNORANCE
 
Nashukuru.
 
Mbona wa mjini wakija kijijini huwa wanashangaa baadhi ya vitu na kutuuliza sisi wa kijijini je hao tuwaiteje?
 
Wamjini si mnajiita wajuaji sasa ukija kwetu kijiji tutakwita mjinga maana wajinga wengi wanatokea mjini kama ilivyo kwa washamba kutokea kijijini
Hapo kwenye wajinga viceversa is trueafu mkuu watu wanaotoka mjini kuuliza vitu wanapokua kijijini huwa ni kuwazuga tu ila wanakua wanajua
 
Hata wa mjini sana sana dasalama pia ni washamba tu! Utawaona wanakula Maindi ya kuchoma na Limao!
 
Back
Top Bottom