R Renald Member Joined Mar 1, 2011 Posts 27 Reaction score 0 Jun 29, 2011 #1 Jamani naomba kuuliza, hivi ni kweli mshahara utaongezwa 40%? Na je, itaanza lini. Naomba mnaofaham mnifahamishe
Jamani naomba kuuliza, hivi ni kweli mshahara utaongezwa 40%? Na je, itaanza lini. Naomba mnaofaham mnifahamishe
W WAMURUBHERE JF-Expert Member Joined Apr 21, 2010 Posts 337 Reaction score 25 Jun 29, 2011 #2 kwani hujui mwaka wa fedha unaanza lini?
MAMA POROJO JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 4,974 Reaction score 793 Jun 29, 2011 #4 Mishahara June 2011 imeshalipwa?
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Jun 29, 2011 #5 June 2011 imelipwa, Tujulisheni kuhusu hiyo nyongeza kwani kwetu umeme haujulikani tena unawakaga saa ngapi ili uone radio au tv.
June 2011 imelipwa, Tujulisheni kuhusu hiyo nyongeza kwani kwetu umeme haujulikani tena unawakaga saa ngapi ili uone radio au tv.