sasa kama una laki 4 na ushee mfukoni: kwa nini usichukie taxi ya 15,000 kukufikisha home? Kwa nini upande dala2 ya 300?
Pole sana Masanilo, lakini hizi ni nguvu za giza.
Unatakiwa kabla hujatoka nyumbani kwako ujiweke mikononi mwa Mungu na shughuli zako kila siku watu kama hao hawatakufuata hata kukusemesha tu hatathubutu, kwa kutumia imani yako.
Sasa utaishije na leo ndo tarahe 5 au una source nyingine ya income?
sasa kama una laki 4 na ushee mfukoni: kwa nini usichukie taxi ya 15,000 kukufikisha home? Kwa nini upande dala2 ya 300?
Asante sana mwezi utaisha tu ila cha moto kitaonekana!
mkuu kwa maisha haya ya siku hizi taxi si anasa? hizo laki nne ukidumbukiza mfukoni hakuna hata anayeweza kukudhania! laki nne yenyewe hata katikati ya mwezi haikufikishi then uwaze taxi, aaah jamani! mkuu haijawahi kukufika, hawa jamaa wa nguvu za giza wanaweza kukuvizia hata ukishashuka kwenye hiyo taxi then wakalamba chao....mkuu hawa jamaa hawafai...walishaniliza hata mimi, I wish ningekuwa na uwezo wa kuwakamata..ningewatafuna wabichi....pole masanilosasa kama una laki 4 na ushee mfukoni: kwa nini usichukie taxi ya 15,000 kukufikisha home? Kwa nini upande dala2 ya 300?
mkuu kwa maisha haya ya siku hizi taxi si anasa? hizo laki nne ukidumbukiza mfukoni hakuna hata anayeweza kukudhania! laki nne yenyewe hata katikati ya mwezi haikufikishi then uwaze taxi, aaah jamani! mkuu haijawahi kukufika, hawa jamaa wa nguvu za giza wanaweza kukuvizia hata ukishashuka kwenye hiyo taxi then wakalamba chao....mkuu hawa jamaa hawafai...walishaniliza hata mimi, I wish ningekuwa na uwezo wa kuwakamata..ningewatafuna wabichi....pole masanilo