Mshahara wa Tutorial Assistant

Mshahara wa Tutorial Assistant

Hivi baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapi ?
Makato yote ni 30% nje ya mkopo WA nje.
1,900,000-(0.30 × 1,900,000) = 1, 330, 000/= Hiyo ndio take home kwa mshahara wa 1.9M
 
Back
Top Bottom