mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
Bado huo mshahara sio mbaya sana ukiangalia na mazingira ya kazi ya u tutorial yalivo... Kuna vihela vingi vya research halafu mi naona ni kazi ambayo mtu una uhuru sio kama hizi kazi za kusimamiwa na mabosi...
Yah wana hela za field, kuna training etc
Pia kuna nafasi za kusomeshwa na chuo, akipiga masters anapanda mpaka 2.6m+ hivi