Mshahara wa Tutorial Assistant

Mshahara wa Tutorial Assistant

Labda imepanda maana nna mshkaji anafundisha mzumbe moro.. mwaka jana aliniambia anakula 1.6 (kwa waliosoma bachelor za miaka 3) na 1.9 waliosoma bachelor za miaka minne na mitano (kama MD na engineers)
Baada ya makato unaondoka na hela ya mboga na chenji inabaki ingawa kadri unavyokuwa na hela ndivyo matumizi yanaongezeka
 
Labda imepanda maana nna mshkaji anafundisha mzumbe moro.. mwaka jana aliniambia anakula 1.6 (kwa waliosoma bachelor za miaka 3) na 1.9 waliosoma bachelor za miaka minne na mitano (kama MD na engineers)
Hivi baada ya makato ( pamoja na makato ya bodi ya mikopo HESLB) hiyo 1.6m na 1.9m zinabakia shilingi ngapi ?
 
Mimi yule jamaa yangu alinionesha salary slip yake kama sio mwaka jana bas mwaja juzi

Kutoka 1.6m makato yote na HESLB alibakiwa na laki nane na kitu hivi kama sio 9 hivi

Sijajua now kama kuna mabadiliko, ila salary slip alinionesha nliona kwa macho yangu
 
1.9 karibia 800k nzima inakuwa wipe out na serikali
 
Nadhani wa 1.9 anafika kwenye 9+ to M, maana hapo jamaa kapigia mahesabu wa 1.6 ndo akafika kwenye 800k - 900k, na naskia mwaka huu kulikuwa na nyongeza ya mishahara ya 23% kama sikosei, sio mtaalamu wa kucalculate but nadhani kama ikiwa applied kwa huyo wa 1.6 na huyo wa 1.9 maybe wanaweza fika M to M+(I'm just assuming/thinking)
 
Back
Top Bottom