UDSM, MZUMBE, SUA, UDOMLaki nane mpaka tisa inategemea na chuo
CluelessLaki nane mpaka tisa inategemea na chuo
Tutor wote salary scale ni 1.43 M hiyo ni kwa VETA na vyuo vingine vya umma,ni hivyo tu mkuuHabari, naomba kuuliza mshahara wa tutorial assistant kwa vyuo vikuu ni shilingi ngapi?
Pia naomba kujua mshahara wa Tutor wa VETA ni shilingi ngapi?
Kubwa sanakuna tatizo mkuu

Majibu yatatoka mwez wa 9 mwanzoni kwa waliomba via ajira portal. Kwahyo subir kidgoAgro- mechanics
Source umetooa wapMajibu yatatoka mwez wa 9 mwanzoni kwa waliomba via ajira portal. Kwahyo subir kidgo
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hapa bongo mishahara ni ya kawiada sanaHabari, naomba kuuliza mshahara wa tutorial assistant kwa vyuo vikuu ni shilingi ngapi?
Pia naomba kujua mshahara wa Tutor wa VETA ni shilingi ngapi?