Mishahara haitakiwi kupishana sana kati ya taaluma moja na Nyingine au sekta moja au Nyingine. Wote twastahili Mishahara inayokidhi mahitaji yetu
Sema watu wana angalia Mishahara yao na kuifananisha na wabunge - ndo maana ndoto za kila mmoja wetu ni kuwa mbunge.