Mkuu, Mshahara wa sh 955,000/- ikishakatwa PPF na PAYE inabaki Sh. 720,000/- na sio Laki tano na nusu.Leo katika hotuba ya Rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi Tshs 900,000.Ila Laki tisa,ukikata PPF,PAYE inabaki kama TShs 550,000.Ukiangalia Dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanaMbunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.We unampa Dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.
ila mkuu madaktar si wana maduka ya madawa ambayo wanaiba serekalini na pia wanamiliki hospt zao nadhani wana masilai mengi tu,yaani hata Dereva wa TRA au BOT hapati mshahara kama huo ila kwa Daktari unamfaa eee, aisee madaktari wembe ni ule ule mkigawanyika tu mmekwisha.
leo katika hotuba ya rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi tshs 900,000.ila laki tisa,ukikata ppf,paye inabaki kama tshs 550,000.ukiangalia dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanambunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.we unampa dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.
Leo katika hotuba ya Rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi Tshs 900,000.Ila Laki tisa,ukikata PPF,PAYE inabaki kama TShs 550,000.Ukiangalia Dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanaMbunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.We unampa Dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.
Mkuu unapozungumzia mshahara hebu tuelewane kwanza, mfano hiyo laki9 ya daktari tunayozungumzia hapo tunamaanisha gross yaani baada ya basic (mshahara wenyewe) na malupulupu mengine.Mshahara wa Mbunge 2.5 Milioni, Madakatari wanataka 3.5Milion, Haiwezekani nawashauri wafanye analysis kama inawezekana, Kama kusoma Miaka 5 Hata lawyer wanasoma Miaka hiyo na mishahara mmewazidi, Halafu kama unasomei kitu ili kikulipe somea kitu kinacholipwa hakuna mtu aliyelazimishwa kusomea Udaktari,
Halafu mtueleze Madaktari Secta ya afya inaongoza kwa Rushwa na Wizi wa Madawa na Kuwaelekeza wagonjwa kwenye Maduka yenu mtalimalizaje hilo sion tu mnataka Mishahara mikubwa hamsemi yakwenu mtamalizaje
ndo faida ya kuwa mtaalam badala ya kuwa mtu wa bla bla kama mchumi wenu numberi one anayetudanganya mchana kweupe.ila mkuu madaktar si wana maduka ya madawa ambayo wanaiba serekalini na pia wanamiliki hospt zao nadhani wana masilai mengi tu,
kama wanataka kulipwa m 3.5 waanze kujilipa hayo masomo yao.....eti mazingira hatarishi sie mbona tunafanya kazi kwenye mzingira ya black mamba(koboko )...,hatujalalamika?? Nyoka akikugonga unakufa within 20 minites.....spidi yake 20 km per hr....urefu ft 14...lakini tunapiga tu kazi za serikali.....wakatafute mwajiri atakayeweza kuwalipa mshahara huo...hawana sababu ta kugoma...hilo swala kuboresha huduma za afya mbona ni la 12 kwenye orodha kama kweli ni wazalendo.......wasituzingue....jwanza wako shallow tu......
hujawai jiuliza mwanajeshi kushinda kambini na kuludi kulala na kasomea miezi6 na ni darasa la4 analipwa laki5,. Hyo wa degree mil2.5,. Je nani anaumuhimu apo doctor na mwanajeshi
kama wanataka kulipwa m 3.5 waanze kujilipa hayo masomo yao.....eti mazingira hatarishi sie mbona tunafanya kazi kwenye mzingira ya black mamba(koboko )...,hatujalalamika?? Nyoka akikugonga unakufa within 20 minites.....spidi yake 20 km per hr....urefu ft 14...lakini tunapiga tu kazi za serikali.....wakatafute mwajiri atakayeweza kuwalipa mshahara huo...hawana sababu ta kugoma...hilo swala kuboresha huduma za afya mbona ni la 12 kwenye orodha kama kweli ni wazalendo.......wasituzingue....jwanza wako shallow tu......