Mshahara wa serikali PGSS 14 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara wa serikali PGSS 14

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mhandisi wa Umeme, Feb 4, 2012.

 1. Mhandisi wa Umeme

  Mhandisi wa Umeme Member

  #1
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Habari, naomba mniambie PGSS 14 ni shilingi ngapi?
   
 2. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  SINA HAKIKA NA VIWANGO VYA SASA KUTOKANA NA NYONGEZA ZILIZOFANYWA. LAKINI NGAZI HIYO NI YA JUU KATIKA MAAFISA WA SERIKALI SENIOR/KARIBIA PRINCIPAL OFFICER. Mwenye figure akupatie
   
 3. escober

  escober JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  am relatively sure hii kitu ni kama 1.2 million tz shs
   
 4. Mhandisi wa Umeme

  Mhandisi wa Umeme Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Thanks wakubwa!!!!!!!!!
   
 5. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sio bur, kuna kitu hapo, utakuwa wewe ni mtoto wa Fisadi umepata kazi TRA au BOT kama sio TANAPA.
   
 6. A

  Adelamick New Member

  #6
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 7. E

  ESAM JF-Expert Member

  #7
  Feb 5, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hii ni 1,180,400 hadi 1,294,400
   
 8. Mhandisi wa Umeme

  Mhandisi wa Umeme Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hasanteni kwa majibu mazuri!
   
 9. Bablii

  Bablii Senior Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naomba kujuwa tofauti ya PGSS na PUTS?
   
 10. E

  ESAM JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tofauti ni kwamba PGSS ni mfumo wa mishahara ya mashirika ya umma au wafanyakazi wasio wanataaluma katika vyuo vikuu (chini ya TCU) na taasisi za elimu ya juu za umma (chini ya NACTE). Na PUTS ni mfumo wa mishahara kwa wanataaluma wa vyuo vikuu vilivyo chini ya TCU na taasisi za elimu ya juu za umma chini ya NACTE zinatumia mfumo wa PHTS ila mafungu ya PHTS yako juu kuliko ya PUTS.
  Asante natumaini umenipata
   
 11. E

  ESAM JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kamateni kazi jamani kama mmezipata na muwatumike watanzania kwa moyo kwa mishahara hiyo si haba bwana, take home ni kama shilingi 790.... hadi 800...
   
 12. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wale watu wa parastatal organisations wanaweza wakasema kitu maana hiyo iko applicable huko.Serikali kuu kuna TGS,TGTS,TGOS etc.
   
 13. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Ohoooo............
   
 14. Bablii

  Bablii Senior Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana, nimekuelewa vizuri... lakini mbona hata wasio wanataaluma (non-academic staff) katika vyuo vikuu, mfano UDSM kwa Lab scientists wanalipwa kwa mfumo wa PUTS?
   
 15. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo kwenye nyekundu labda kama wameanza hivi karibuni. Lakini nakumbuka rafiki yangu wa karibu mwenye master degree aliyeajiriwa kama Lab Scientist hapo UDSM alikuwa analipwa kwa PGSS. Ili kuondoa pengo kubwa lililokuwepo kati yao na teaching staff ilibidi Lab. Scientist waongezewe kitu kinaitwa risk allowance kwenye mishahara yao na kuwafanya kuwa na take home sawa na teaching staff waliosawa nao kielimu.
   
 16. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Lab Scientists wanalipwa scale inayoitwa PUSS, sio PUTS. Hata hiyo PUSS haiji automatically, lazima uombe re-categorization from PGSS to PUSS iwapo umefikia level fulani ya utumishi, na usipoomba utabaki na PGSS ambayo ndiyo ipo by defaulty. PUSS ipo juu kidogo kuliko PGSS, lakini ukipewa hiyo unaondolewa sifa za mafao fulani kama vile overtime (kama itakuwepo), kwani utakuwa umeingia scale ya seniors. Kuna watu hawapendi kwa makusudi kuiomba PUSS kwa mtego wa overtime, hata kama wamefikia level ya kuwa na sifa za PUSS! Hiyo PUTS kama ilivyoelezwa hapo juu, ni ya academic staff
   
 17. Bablii

  Bablii Senior Member

  #17
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsanteni wakuu kwa maelezo toshelezi!
   
 18. Bablii

  Bablii Senior Member

  #18
  Feb 9, 2012
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 109
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ikiwa Lab scientist na Teaching staff wenye viwango sawa vya elimu wanakuwa na take home sawa, nini faida ya kuwa teaching staff (wakati wanakazi kubwa sana kuliko lab scientists), imagine wanafundisha lakuni hawana overtime kama lab scientists, teaching staff wanafanya kazi za kusahihisha mitihani hadi majumbani kwao (wakati huo scientist anakula good time).

  Vile vile wanatakiwa wa publish papers ili wapande madaraja, lakn hilo halipo kwa scientist, scientist anapanda daraja kwa elimu yake na uzoefu wake kazini! Kwanini watu wanang'ang'ania kuwa teaching staff? Kwanini wasi ji re-categorize kuwa ma lab scientists?

  Kuuliza si ujinga!
   
 19. n

  nkwezi Member

  #19
  Feb 9, 2012
  Joined: May 8, 2007
  Messages: 57
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Hata mie nimeshangaa kwa hilo. Labda ebu mtufafanulie vizuri.
   
 20. abbaczo

  abbaczo JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2015
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1,560
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  PUTS 1, scale ya tutorial assistance, ni sawa na Shillingi ngapi kwa sasa
   
Loading...