Mshahara wa September vipi watumishi?

Ukitoka tushtuane wadau maana ndio tarehe zenyewe hizi
 
Duh ikifika tarehe 22 tu mnaanza kuuliza.
Tarehe imebadilishwa kutoka 22 hadi 30 ya kila mwezi[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wewe ze gunners acha masihara na maisha ya watu
Haha Mi nakwambia we utaskia matamko yao mwisho wa mwez ukifika..
Serikali haiko serious na WATUMISHI..
kuhusu Increments na madai yatabaki kuwa Kama porojo tuu.

Wenye mamlaka wakiulizwa maswali BUNGENI wanatoa Majib ambayo hayafanan na swali lililoulizwa..

Ila Ngoja tuone mana walisema mwez September ndo utakuwa mwaka wa fedha unaanza Yaan 2016/2017 so Mtumish kuwa na Imani
[emoji3]
 
Wewe umeshawahi kuona mshahara tarehe 30
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…