Mshahara wa Sales Executive TPB

KIFALU

Member
Mar 13, 2014
99
15
Wadau habarini za majukumu,naomba kujuzwa mshahara wa sales executive Tanzania postal bank kwani Mara kwa Mara naona wakitangaza nafasi zikiwa na one year contract ukiajiriwa
 
mimi jamaa zangu wako hiyo bank wanalia njaa kweli kweli,ubaya wa TPB wanauswahili sana, yaani pale unaweza ukafika vizuri baada ya muda top management ikikuchukia wanaanza kukufanyia mizengwe mpaka utaondoka mwenyewe,kifupi pale labda ukiwa huna kazi ndio uende lakini sio uache kazi sehemu alafu uende pale utalia isee
 
sales executive ni nafasi ya kawaida sana mkuu.., sana sana itakuwa nikutafuta wateja wakufungua account mpya na kuuza product zingine za hiyo bank,, so salary jipangie
 
Back
Top Bottom