Mshahara wa NHC

Mshahara wa NHC

Umepata kazi nini?? Subiri mkataba utaona mshahara mkuu.....!!
 
hii tabia ya kuuliza mishahara hapa JF imekuwa sugu sasa,wote tunajua kuwa mishaara ni siri yako! kama umeomba kazi subiri uitwe kwenye usahili ndo uulize hapa si sehemu sahii ya kupata taarifa unless kama ni mishahaara ya serikali ambayo madaraja yake yanajulikana
 
kama we hujui kuna wengine wanajua..waache wamjibu....au admin kaanzisha shindano la kucomment?
 
mkuu jibu baya sana hili!

jistahi mkuu.. una reputation power nyingi mno kujibu namna hii!... isitoshe wewe ni mkongwe humu!!!
mkuu ni jibu zuri sana

kwanza mtu akianza kuulizia mishahara haasa kwenye public ujue sio professional
pili anaonyesha motivation ayek

tatu... ntamalizia
 
Back
Top Bottom