taarifa za kuaminika kutoka hazina zina eleza kuwa kwa wafanyakazi wa serikali kama haujapata mshahara mpaka leo tar 26/6 basi uwezekano wa kucheleweshewa mshahara hadi tar 5/7 ni mkubwa sana,kwahiyo mnaombwa kuwa wavumilivu
shida nini hadi mshahara ucheleweshwe au mpaka alirusha mabomu arusha apatikanevipi watalipa mshahara mpya au ndiyo mpaka obama aondoke maana watakuwa busy na mapokezi.
Taarifa za kuaminika kutoka hazina zina eleza kuwa kwa wafanyakazi wa serikali kama haujapata mshahara mpaka leo tar 26/6 basi uwezekano wa kucheleweshewa mshahara hadi tar 5/7 ni mkubwa sana,kwahiyo mnaombwa kuwa wavumilivu

Kama ni kweli, bila shaka mishahara inatumika kwenye maandalizi ya kumpokea Obama....
chanzo cha habari yako ya kuzusha ni nkipi???????????????Taarifa za kuaminika kutoka hazina zina eleza kuwa kwa wafanyakazi wa serikali kama haujapata mshahara mpaka leo tar 26/6 basi uwezekano wa kucheleweshewa mshahara hadi tar 5/7 ni mkubwa sana,kwahiyo mnaombwa kuwa wavumilivu