Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,869
Sasa ulitaka mfanyakazi ategemee nini. Halafu muache kudanganyana kuwa ni lazima mfanyakazi awe na shughuli ya ziada. Huwezi tumikia mabwana wawili, so anayeona mshahara hautoshi suluhu nzuri ni kuacha ajira atafute kazi au shughuli yenye maslahi. Huwezi fanya shughuli nje ya ajira bila kuiba muda wa muajiri au kupunguza ufanisi yaani sehemu moja ITALEGA tu.Mazoea ya kutegemea mshahara...sio mazuri..ni vyema kufanya... biashara ya ziada...
Pole mkuu...ni ushauri...sio sheria...unaweza usiutumieSasa ulitaka mfanyakazi ategemee nini. Halafu muache kudanganyana kuwa ni lazima mfanyakazi awe na shughuli ya ziada. Huwezi tumikia mabwana wawili, so anayeona mshahara hautoshi suluhu nzuri ni kuacha ajira atafute kazi au shughuli yenye maslahi. Huwezi fanya shughuli nje ya ajira bila kuiba muda wa muajiri au kupunguza ufanisi yaani sehemu moja ITALEGA tu.
Kwenye Account.Hizo hela mnapewa mkononi au mnawekewa kwenye Account zenu?
TUNAPEWA MIKONONI MKUU,WEWE HUJUI YANAYOTUKUTA,UPO NCHI GANI?Hizo hela mnapewa mkononi au mnawekewa kwenye Account zenu?
.Kwenye Account.
TUNAPEWA MIKONONI MKUU,WEWE HUJUI YANAYOTUKUTA,UPO NCHI GANI?
Nadhani utakuwa utaratibu mpya.Jamani kwa wale watumishi,napenda kujua,usiku huu ujumbe umefka kuwa salary tayari,je ni utaratibu mpya wa kuwekewa salary usiku
Je ina maana watu wakachukue hela zao usiku?
Pole mkuu...ni ushauri...sio sheria...unaweza usiutumie
Tenga Akiba Kwanza, usikimbulie kutoa tuJamani kwa wale watumishi,napenda kujua,usiku huu ujumbe umefka kuwa salary tayari,je ni utaratibu mpya wa kuwekewa salary usiku
Je ina maana watu wakachukue hela zao usiku?
Sms imechelewa kuingia,siyo kwamba muda huo bank ndo wameingiza hela.Jamani kwa wale watumishi,napenda kujua,usiku huu ujumbe umefka kuwa salary tayari,je ni utaratibu mpya wa kuwekewa salary usiku
Je ina maana watu wakachukue hela zao usiku?