Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,649
- 21,290
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama umeshatokamo nitaenda kuuchukuamo na kukimbiapo kwenye tu-club twa villar park nikalemo tu raha kabisa hiiiiiii!
Mbona unamtukana mwanzako Mkuu? Kwani kuna mahali kwenye andko umeona ameandka kuwa umeajiriwa?Huna akili.Kachambe ulale. Unafikiri wote wameajiriwa.Pumbavu sana.
Kwa umeulizwa[emoji23][emoji23][emoji23]Huna akili.Kachambe ulale. Unafikiri wote wameajiriwa.Pumbavu sana.
Una uhakika na unacho kinena. Mimi ni polisi wa ngazi ya chini. Nakaa nyumba ya bati. Sina mke. Jirani yangu chumba cha pili ana mke ukuta pazia. Kuna siku yuko night shift mimi niko home. Hebu nipe maarifa. Nitafanya kibiashara gani nijiongezee kipato ?Kwa wale watumishi humu ebu tujitahidi kuwa na vishughuri mbadala kwa ajili kujiongezea kipato tofauti na mshahara.
Nijuavyo katika wawili. Anae toa tusi na anae tukanwa. Msema matusi ndio mjinga kuliko utumbo wa bata mwenye kwashakooHuna akili.Kachambe ulale. Unafikiri wote wameajiriwa.Pumbavu sana.
Braza hata kulima ka bustani ka sukuma wiki ili uwauzie maaskali wenzako pia inakushinda, hata kufuga kuku wa kienyeji ambao mara nyingi wanajitegemea kujitafutia chakula, tuwe serious basi.Una uhakika na unacho kinena. Mimi ni polisi wa ngazi ya chini. Nakaa nyumba ya bati. Sina mke. Jirani yangu chumba cha pili ana mke ukuta pazia. Kuna siku yuko night shift mimi niko home. Hebu nipe maarifa. Nitafanya kibiashara gani nijiongezee kipato ?
Kuwa GT,unauliza mishahara kwani wote humu ni waajiriwa? Mishahara sector binasfi au serikalini? Kama Sector binafsi ni kampuni gani sasa? maana kila kampuni inalipa tarehe zake na kama serikalini,ni ipi? Kuu au local? Taja taasisi uliyopo ndio watu watoe jibu usiulize kigeneral as if watu wote wameajiriwa humu.Wadau Habari za Muda huu.....Naomba mnijuze Wadau mishahara ya mwezi April imeshatoka au bado kwa yoyote mwenye Kujua anijuze......,,
Kumbe hukunielewa. Mimi mhehe sina shamba Dar. Nakaa Buguruni nyumba za bati au full suit. Bustani nitalima wapi ? Kuku nitafugia wapi ? Naomba wazo jingine. Kumbuka nakaa one room kila upande kuna jirani lkn wakiwasha taa usiku nawaona wao pia wananiona na kunisikia. Sina siri wala faraghaBraza hata kulima ka bustani ka sukuma wiki ili uwauzie maaskali wenzako pia inakushinda, hata kufuga kuku wa kienyeji ambao mara nyingi wanajitegemea kujitafutia chakula, tuwe serious basi.
Ili ufanikiwe jitahidi kwanza kuwa na nia na unachokifanya lkn hata ujaonesha nia umeshakubali kushindwa utaendelea kuishi kwenye full suit miaka yooote[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kumbe hukunielewa. Mimi mhehe sina shamba Dar. Nakaa Buguruni nyumba za bati au full suit. Bustani nitalima wapi ? Kuku nitafugia wapi ? Naomba wazo jingine. Kumbuka nakaa one room kila upande kuna jirani lkn wakiwasha taa usiku nawaona wao pia wananiona na kunisikia. Sina siri wala faragha
Why usipange nyumba ya hadhi yako?Kumbe hukunielewa. Mimi mhehe sina shamba Dar. Nakaa Buguruni nyumba za bati au full suit. Bustani nitalima wapi ? Kuku nitafugia wapi ? Naomba wazo jingine. Kumbuka nakaa one room kila upande kuna jirani lkn wakiwasha taa usiku nawaona wao pia wananiona na kunisikia. Sina siri wala faragha
Ha ha haaaaah kumbe waanga mko wengi sana.Nasikia kesho saa tano unaingia.....
Haina kuremba
Kajifunze uandishi kwanza..,"tumefamu" ndio nini?"Acha ushamba. Unatuhusu nini?! Waswahili bwana!! Aya basi tumefamu nawewe upo kwenye pay roll.