Ndio, deals haziwezi kuisha kama maslahi ya watumishi ni mabovu. Na uchapaji wa kazi pia unakuwa ni ndoto. Tutaishia kuongea tu kwamba madili sasa hakuna na utendaji wa kazi upo juu ila kiuhalisia ni kwamba tunajidanganya tuIla nchi zingine zilizofanikiwa kupambana na rushwa zili hakikisha maslahi ya watumishi yapo vizuri sasa laki nne inamtosha nini mtumishi kama sio kumshawishi kutafuta deal zingine
Boya hiliLaki kumi
Duh! Hiyo nomaa sasa km alipata heksb aka Loan kpnd anasoma si Mshara unazid kushuka?Degree 716000 ila inayoingia kwa akaunti ni 445000 .. Nusu ya mshahara hurudi ulikoingilia
+loan board mkuuDuh kazi ipo! 23% yote inaondoka
FactAskari wanyamapori aliyemaliza kidato cha nne aliyesoma basic certificate kwa mwaka moja pale pasiansi chuo cha wanyamapori akiajiriwa huanza na mshahara wa millioni moja na laki moja(1,100,000) take home yake ni laki nane na themanini akiongeza na night allowances ambayo ni lazima kwa kila mwezi jumla anakunja millioni moja na laki mbili hadi nne....kuwa na degree cyo sifa cha muhimu ni kusoma elimu ambayo itakulipa.
ExctlyBasic salary for degree holder is 716,000/=
Take home 540,000/=
tatizo ada yake mkuu sio kwamba hatupendi kusoma iyo koziAskari wanyamapori aliyemaliza kidato cha nne aliyesoma basic certificate kwa mwaka moja pale pasiansi chuo cha wanyamapori akiajiriwa huanza na mshahara wa millioni moja na laki moja(1,100,000) take home yake ni laki nane na themanini akiongeza na night allowances ambayo ni lazima kwa kila mwezi jumla anakunja millioni moja na laki mbili hadi nne....kuwa na degree cyo sifa cha muhimu ni kusoma elimu ambayo itakulipa.
Millioni tatu kwa mwaka cyo ela nyingi sana mkuu halafu ukiajiriwa ndani ya miezi mitatu unairudisha hiyo ela kuna hasara gani?tatizo ada yake mkuu sio kwamba hatupendi kusoma iyo kozi
Ukimaliza hiyo kozi waajiri wake ni wangapi?what if ukikosa kazi serikalini,ni wapi unaweza kupata kazi mbadala?Millioni tatu kwa mwaka cyo ela nyingi sana mkuu halafu ukiajiriwa ndani ya miezi mitatu unairudisha hiyo ela kuna hasara gani?
Ina waajiri watatu ambao ni Tanzania National Parks (TANAPA), Tanzania Wildlife Authority (TAWA) na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)..uwezekano wa kukosa ajira kabisa kabisa ni ngumu sana unaweza ukakaa mtaani si zaidi ya miaka miwili kama una cheti ila percent ya kupata ni kubwaUkimaliza hiyo kozi waajiri wake ni wangapi?what if ukikosa kazi serikalini,ni wapi unaweza kupata kazi mbadala?
Na je wote wanaopata hiyo kazi,wote majukumu yao ni kushika bunduki na kulinda wanyama au Kuna vitengo tofauti tofauti?Ina waajiri watatu ambao ni Tanzania National Parks (TANAPA), Tanzania Wildlife Authority (TAWA) na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)..uwezekano wa kukosa ajira kabisa kabisa ni ngumu sana unaweza ukakaa mtaani si zaidi ya miaka miwili kama una cheti ila percent ya kupata ni kubwa
Unaweza kuanzia kushika bunduki ila ukaamua kusoma ukatoka kwenye bunduki ila the Gunner's ni wale wa elimu ya chiniNa je wote wanaopata hiyo kazi,wote majukumu yao ni kushika bunduki na kulinda wanyama au Kuna vitengo tofauti tofauti?
Ina maana hizo kozi huwa zina muendelezo wake hadi kufikia ngazi ya degree?Unaweza kuanzia kushika bunduki ila ukaamua kusoma ukatoka kwenye bunduki ila the Gunner's ni wale wa elimu ya chini
Hadi PhD...kuna viongozi wengi tu wa serikali wamesomea wildlifeIna maana hizo kozi huwa zina muendelezo wake hadi kufikia ngazi ya degree?
Hicho chuo kipo mkoa gani,maeneo gani?Hadi PhD...kuna viongozi wengi tu wa serikali wamesomea wildlife
Hahaaaa hatareDegree 716000 ila inayoingia kwa akaunti ni 445000 .. Nusu ya mshahara hurudi ulikoingilia
hahahaha mkuu inategea na familia ....tupo tofauti sana hela ngumu nduguMillioni tatu kwa mwaka cyo ela nyingi sana mkuu halafu ukiajiriwa ndani ya miezi mitatu unairudisha hiyo ela kuna hasara gani?